WEMA SEPETU na PENNY Waingia ‘Chimbo’ Wasema 'Hatutaki Tena Kushabikia Mambo ya Diamond na Zari Hayatuhusu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema  Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.

Akizungumza kwa niaba ya mwenzake, Penny alisema kelele za kila siku wamezichoka na baada ya kukaa pamoja, wameona hiki ni kipindi cha kupiga kazi badala ya kupoteza muda.

Tumeamua kuandaa filamu yetu ya pamoja ambayo ninaamini itakuwa ni kali na ya aina yake. Tumepoteza muda mwingi na hivi sasa tunahitaji kufanya kazi, tunachowaomba mashabiki wakae tayari kutupokea na hatutaki tena kushabikia mambo ya Zari na Diamond kwa sababu hayatuhusu,” alisema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MNAAKILI SANA WATOTO WAZURI, JITIHADA ZENU ZITAZAA MATUNDA INSHA ALLAH

    ReplyDelete
  2. zibeni masikio mambo ya Domo na Zari ni sifa zisizokuwa na tija, wanapenda attesion hata wakinya wanataka watu wajue, ni mahayawani wasojijua.

    ReplyDelete
  3. nyinyi nina wasi mnapata commission kwa diamond!!
    kuutwa kurusha habari za d na z humu. mmmh mnazichuchua sasa

    ReplyDelete
  4. Acheni utoto fanyeni kaz mbona D anapga kaz Z ana mimba af anapesa nyie mnauza sura tu,...!! Fanya kaz acheni upuui

    ReplyDelete

Top Post Ad