google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wema Sepetu: Niliwahi Kutoa Mimba Moja tu ya Kanumba Kwa Vile Nilikuwa Mdogo Sana, Wanao Sema Nimetoa Mimba Nyingi ni Waongo | UDAKU SPECIAL

Wema Sepetu: Niliwahi Kutoa Mimba Moja tu ya Kanumba Kwa Vile Nilikuwa Mdogo Sana, Wanao Sema Nimetoa Mimba Nyingi ni Waongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.

Source:EFM
Miss Wema Sepetu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE SAANA LABDA NDIO ULIHARIBU NA KIZAZI BAADA YA KUMTOA MTOTO WA KANUMBA!!!

    ReplyDelete
  2. Pole omba kwa mungu atakusaidia pengne wanaume uliokutana nao damu zenu haziendani so kuwa mvumilivu inshaallah utapata mimba kwa uwezo wa mungu dont giv up

    ReplyDelete
  3. Namshauri aende fatility centre anaweza pata msahada, Niko Uganda kuna fatility centre inaweza kusaidia na ukapata mimba if ur ready wasilina na Mimi ili nikutumie namba yangu tuwasiliane uweze pata msahada, pole sana dada yangu

    ReplyDelete
  4. Bado anaficha majungu,, uongo mtupu. alikuwa mdogo wapi wakuweza kufanya sex? alinogewa kutoa mimba ya kwanza baada ya kuona ni rahisi na zingine zikafuatia.....Bolox story za kijinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo mdau upo sahihi kbs,14 yrs anazaa ije yeye above 18?.alikuwa mdogo kivipi?aseme alinogewa

      Delete
  5. Huyu dada kwa nini kila mambo yako binafsi kitu unapenda kuyatangaza hadharani?kweli diamond kukuacha kumekuchanganya.

    ReplyDelete
  6. acha usenge wewe 12.19 pm. ulikuwa na Wema wakati anaitoa hiyo mimba ya kanumba? unamuhukumu na kumwita muongo? wewe masema kweli tuambie ulifanywa na wangapi na ulizitoa ngapi? ujingana majungu ndo mlozaliwa nayo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. @2:15 Msenge ni wewe unaemtetea mtoa mimba, yeye Wema keshasema kuwa alitoa mimba naona siku hiyo mlikuwa pamoja kusaidiana manake ya kwako ilikuwa kubwa kuliko yaa bi Wema.usenge unaujua wewe manake umeisha firwa sana kiasi kwamba unasahaku kuwa Wema keshatoaga mimba, ingefaa umuulize yeye Wema mimba ngapi katoa...jinga ww. Na wewe Bi Wema ungekaa kimya na story zako za kutoa mimba, je unajua kutoa mimba ni kinyume cha sheria?

      Delete
    2. wewe 2:15 PM . wkati Wema anatangazia jamii kwamba katoa mimba ya kanumba, inasemekana wewe ulikuwa unapigwa miti kichochoroni ndio maana hukumbuki kama ashatoaga mimba na sio moja

      Delete
    3. WEMA MWENYEWE KASEMA ALITOA MIMBA YA KANUMBA!!! WEWE 2:15PM

      Delete
  7. Acheni stori za Zinaa,apate mtoto bila ya ndoa hiyo si itakua mimba ya zinaa. Na mimba ya zinaa haina baraka za mungu. Pigeni vita zinaa kabla ya kujifanya mwatoa ushauri usio na kichwa wala miguu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kajambe na wewe zinaa ngapi unafanya na kutoa hizo mimba umbea tu wa kujiona mcha Mungu hovyoo

      Delete
    2. SASA WEWE HUKU UMEFATA NINI NA WEWE HUTAKI ZINAA EEH IYOBOJO...KAMA SIO UMBEA TU.

      Delete
  8. Hakuna cha udogo hapo,hlf hyo ilitakiwa iwe siri ako co kuitoa kwa jamii...mfyuuu

    ReplyDelete
  9. Wema IQ yake ni ndogo licha ya kuwa staa,, inabidi aojiwe na polisi kwa utoaji wa mimba, kwani ni kinyume cha shria pia kutokana na kuwa yeye ni staa inaleta sifa mbaya kwa wasichana wadogo

    ReplyDelete
  10. Dada Wema, jana niliangalia kipindi cha Dk. Mwaka, alieleza kwa kirefu tu kuhusiana na hali inayofanana na tatizo lako, mojawapo ya mambo yanaendana na umiss wakati wa mazoezi, kula na kadhalika. Hebu jaribu kumuona mamy anaweza kukupa mwanga fulani. Isitoshe umeweka wazi tatizo hili hatutashangaa kukuona kwake. Usijali maneno ya watu Sara alizaa akiwa na miaka 90. It can be done, play your part.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe una akili timamu hahahaha una mfananisha sara alieishi maisha ya kitakatifu na huyu kahaba eti usijali Sara alipata mimba na miaka 90, pumbavu usifananishe watu wamcha Mungu na nyie mloiozaliwa kizazi cha laana maana mtu anaongea tu eti nilitoa mimba moja tu shame on you bitch....

      Delete
    2. DUNIANI HAKUNA MWEMA, WOTE MNATINGISHA MIDOMO TU.

      Delete

Top Post Ad