WEMA SEPETU Unaikumbuka Hii ? ... JE Kuna Haja ya Wema Sepetu Kumuomba Radhi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Andiko lake la hapo jana akielezea machungu anayoyapata kwa kutokuweza kupata mtoto japokuwa anatamani huku akiwataka watu waache kumsema vibaya kwani yote hayo ni mipango ya Mugu, Mwanadada Wema amekumbushwa  kule alichomfanyia mwanadada Zarinah Hassani kwa kitendo chake cha kushiriki kukejeli ujauzito wa mwanadada huyo.
“Girl so you know that it hurts to say hash words towards another human being I thought you never knew DO YOU REMEMBER THIS WORDS ---PREGNANT MY FOOT that was a very hash word to say to a human who is caring a creature in her womb try to fear God and he will deliver your needs..”mmoja alikomenti kwenye andiko hilo la Wema.
Siku za nyuma kidogo mwanadada Wema alishiriki kukashifu ujauzito wa mwanadada Zari aliopewa na Diamond ambae alikuwa ni mpenzi wa Wema, kwa kubandika picha mtandaoni ya Zari ikiwa na maneno  “Mimba My Foot”  (icheki hapo juu). Maneno ambayo sio ya kiungwana kabisa.
Japo kuwa Zari alitumia busara kubwa kumjibu, je unafikiri ni wakati sasa wa Wema kumtaka radhi Zari kwa kile alichomtendea?
 Mzee wa Ubuyu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni unafiki, mnajua kabisa hii kitu ilitoka kwa fake acc

    ReplyDelete
  2. Kila kukicha Wema hamna jipya aombe radhi ya nini kipi cha ajabu chini ya jua aliye mpa zari mimba ni mungu na aliye mnyima wema mimba ni mungu msishabikie maisha ya watu wangapi wamezaa watoto 12 na hawana faida na wazazi wao.

    ReplyDelete
  3. WEMA BILA YA WEWE MAGAZETI HAYAUZIKI DARLING YOU ARE GREAT LET ME SAY YOU ARE TANZANIA STAR NOT STAR MOON YOUR THE BEST LOV U

    ReplyDelete
  4. Tafteni issue nyingine bana hao vilaza si tushawachoka....

    ReplyDelete

Top Post Ad