Look what Zari is Doing with her sons

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Look what Zari is Doing with her sons..
Happy People...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Admn nina mashaka na hii blog mara nyingi mnapenda kumwandika wema vibaya, za ex wake mnazipamba na kuongeza uongo, sasa hiyo ina mantiki gani. ?

    ReplyDelete
  2. Maisha ya maigizo IG

    ReplyDelete
  3. Sio lazima kila siku mmpost kitu, kama hamna cha ku post.

    ReplyDelete
  4. Wema is too young to worry about the baby.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEMA MUNGU NI MWEMA NA UMRI BADO UTAPATA TU MTOTO NA WEWE!!!!!MUNGU NI MWEMA SANA.

      Delete
    2. kwani wema si alisema pregnant my foot sasa analia nini???

      Delete
  5. We kibaraka wa nasra!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. What is the point mmmmmh!

    ReplyDelete
  7. What is the point mmmmmh!

    ReplyDelete
  8. Mbona mna mnyanya pa mtoto wa watu hivyo amewakosea nini?

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. imagine na ww una dada ama utaja zaa watoto wako huenda nao wakalia kama Wema unavyomsakama what goes around comes around ... usijiwekee laana kisa you have a platform

    ReplyDelete
  11. WHY MNAPENDA KUMFANANISHA WEMA NA ZARI?
    HIVI DIAMONDO NDIYO MWANAUME PEKE YAKE?
    HEEE TOO MUCH. MUACHENI WEMA AISHI LIFE YAKE MXXXXX

    HAWA TCRS SIJUI VITU GANI WHY HAWADILL NA WATU KUUTWA KUANDIKA HABARI ZA KUZANIA. VIPI USEMEE MOYO WA MTU???

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  13. anajitahidi kumpaisha Zari, anafikiri atalipwa 10/o ya watoto wa Ivan, utaandika sana mwaka huu na deki utapiga akishamaliza kutumia toy sex.

    ReplyDelete
  14. UNAHAHA KAMA SINTA KUMSIFIA ZARI KILA AFANYACHO, UNAFIKIRI UTAPATA COMMENTS NYINGI MWAMBIE DOMO AKUHEMEE KWANZA.

    ReplyDelete
  15. Yaani watu walimsema wema sana lakini safari hii kenda kuzoa kahaba no 1 umalaya wote kamaliza usagaji sex toy na dini kabadili ila ndoa anaiona kwenye site mirror jitahidi kwa huyu limbukeni mwenzio labda atakutoa mkosi pyeee

    ReplyDelete
  16. Jamani hivi kwani lazima tuchangie? kama unaona huna cha kuchangia kwanini usipotezee mpaka uchangie lugha hisiyofaa.?Wema,Zari, Diamond na star mwengine yeyote anapopost picha ktk acct yake anafanya hivyo kwa kufurahisha nafsi yake mwenyewe ajakulazimisha wala kukusihi kuchangia achene matusi jamani tunajizalilisha watanzania tunaonekana hatujuhi matumizi ya mitandao ya kijamii

    ReplyDelete
  17. april 15 unachosema ni sahihi kwa nini mtu utukane, hivi ni nani aliyekufa kwa kutukanwa? ukitukana ina maana unajitukana wewe mwenyewe acheni ushamba hakuna mnachofaidika hapo iwe kwa wema, zari au diamond. acheni ushamba

    ReplyDelete

Top Post Ad