Zari wa Diamond Awakata Haters Kidomo domo..Awaonyesha Tumbo lake Live Live

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

After all is said and done about Zari faking pregnancy, she decided to come out and show off her baby bump , Haters !! Its for real ....Congrats to you Zari and Diamond

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. So what then???

    ReplyDelete
  2. its there yes but whe question is ni mimba ya nani?
    Im not buying that wakutane in few months tayari wazae mtoto.
    IM waiting for this movie aisee.I like it.
    Keep posting

    ReplyDelete
  3. Kama domo kakubali kulea Mimba sio yake.wewe unajali nini?na vijembe anatupiga juu.muache kalikoroga lazima alinyweee!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Mweye ndiyo mnahisabu myezi kwanini usihisabu toka alipo kwenda ku record vedeo ya number one south africa toka apo wako pamoja mnajuwa kubwata hamjuwi kuchunguza yeye zari mwendawazimu wakutane kwenye ndege ashuke dar kuspend na daimond bila kuwa wako pamoja siku nyingi

    ReplyDelete
  5. Wadau wa hapo juu mliwahi kusoma Biology shuleni na kama ndiyo Je mnakumbuka lile somo la REPRODUCTION jinsi gani mimba au mtoto anavyoweza kupatikana?Kama mmesahau nendeni ktk library mkatitafute hicho kitabu cha Biology ili muweze kuzi brush up kumbukumbu zenu kuhusu hilo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nimesoma mpaka embryology... Sema tena

      Delete
  6. Mmmhhh! Thats Jimmy Belly Five. Kitambi cha bia

    ReplyDelete
  7. Mambo ya kujaji mimba zari ni nani? Wala haiwahusu mwenyewe mwenye mimba si mnamjua yeye na dimondi. Sasa nyinyi mmekaza ya nani ya nani. Kama mlikuwepo chumbani Vile. Wakati hiyo mimba inatafutwa

    ReplyDelete
  8. KWANI YEYE NDO WA KWANZA KUSHIKA MIMBA YA DOMO? ATUPISHE KULEE KAMA LIZA KIKI ZOOTE, SASA ANAKAA UCHI. APANUE NA MIGUU KABISA.

    ReplyDelete
  9. Sina uhakika kama mimba ya Almasi ndo maana wanajitahidi sana kuonyesha watu kama wanapendana, mara ndoa mara may 1. yoote ni kuhaha na kutojiamini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakubaliana na wewe, U R very ryte!

      Delete
    2. Uko sawa kabisa, hiyo mimba imegeuzwa biashara ya matangazo wenye nayo hawajiamini kama watapata wateja. Wasanii kibao wa Bongo ambao wako kwenye gemu muda mrefu na wanamafanikio zaidi ya Nasibu wana watoto na wala hatukuona mimba zao. Simjui hata Demu wa AY anafananaje.

      Ngoma ikilia sana mwishoe hupasuka, wataenda adopt mtoto wapi sijui wamuonyeshe. Sina mimba lakini tumbo langu kama hilo hasa ukilala kiupande upande.

      Halafu hilo tumbo la mimba, mara ya mwisho tulionyeshwa limeshashuka kama mtu anaekaribia kuzaa yaani mimba ya miezi 8 kichwa kimeshageuka. Sasa hapo halijulikani mtoto yuko wapi tumbo laini halijawamba. Juzi tumeonyeshwa tumbo liko juu chini ya kifua design ya mimba ya miezi 6.

      Mwee mwaa huu tutaona rangi zote za mimba mpaka miezi 9 itimie. Wanatufanya watoto wadogo wakati wengine tushazaa humu zaidi ya mara 2 tunajua stages zote za mimba tumbo linakuwaje. Tumbo halijawamba hilo kama mimba ni ya miezi 5 au 6.

      Delete
  10. Mbona kalala upande upande kama anataka kunya mchana! mweeeee

    ReplyDelete
  11. matangazo ya nn, kama ni mimba si yakwake? au hawajiamini na wanchokifanya, walokuwa kuwa na mimba na wenye mimba zao hawasemi. Nashangaa hii ya zari imekuwa tangazo la laifa, kuna nn kimejificha nyuma ya pazia????

    ReplyDelete
  12. Domo kaamua Kuoa make wa rich gang? Yangu macho na masikio!! Gemu

    ReplyDelete
  13. Diamond started dating zari November mwisho he kams Hiyo mimba ni big hivo

    ReplyDelete
  14. Na azae tu...tushachoka

    ReplyDelete
  15. BINADAMU HAWANA WEMA MWANZONI MLIPIGA KELELE MIMBA IKO WAPI MBONA HAIKUI HAYA MIMBA HIYO KELELE TENA ZA NINI?? ZARI NA DIAMOND HAMUWEZI KUWARIDHISHA WATU WOTE YEE FUATENI YENU TU BINADAMU HATURIDHIKI.!!! HONGERA SANA ZARI !! WATASEMA SANA NA MENGI WEWE USIWAJALI.

    ReplyDelete

Top Post Ad