Aliyekuwa Mke wa Mbunge Sugu Aiponda Show ya Zari All White Party, Adai ilipooza Bila ya Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na hii Mahali Aliyekuwa Mke wa Sugu Ameandika Jinsi Alivyoona Show ya Zari
Jisomee Mwenyewe Hapo chini:

Faiza_Ally : ilikuwa Kawaida Sana..Sio Kivilee nacho taka kusema bila kuficha kuwa watu ambao nilikuwa karibu nao waliboreka! halafu tukajikuta tuna miss Madamu WEMA hata mimi niliona kwamba angekuwepo WEMA pale huenda ingekuwa tofauti WEMA anapendwa na Watanzania sana nilicho kiona Jana ni Kwamba mizuka maandalizi kawaida sana sikuona hiyo historia au nilicho kifurahia sana au labda nilikuwa nimepania au labda nilikuwa nafikiria kitu tofauti lkn cha msingi ni kwamba WEMA anapendwa bado akifanya chochote Watanzania watasapoti kwa Namna yoyote..Anyway kifupi nilicho enjoy ni nguo zangu na picha lkn the rest mhhhhhhhhhh"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama hatuangalii kiki hapa ila hela lijue hilo....

    ReplyDelete
  2. Haukuhizajika huenjoy msembenungwa wewe....umelipa hela yako account ya Zari umestabalise mshamba wewe...ya ndoa yamekushinda sasa kupiga mdomo tu.....unampenda mbona hukwenda instagram party???????????????????????????

    ReplyDelete
  3. Huyu anabore kutafuta umaarufu kwa nguvu kwanza mmuone alivyovaa si ungeenda Mwanza!

    ReplyDelete
  4. Huyu mnafiki fanya yakwako halafu mwalike huyo wema halafu tuone utapata beigani acha wivu wakisenge zari bado tishio bhana

    ReplyDelete
  5. Ukweli unaumaa eeh, sasa kumtukana huyo Faiza ndio kutafuta ukweli kuwa Party ilikuwa mbaya na below standard? Mtawatukana wengi basi maana watu wengi waliozoea party za Gonga White Party hii wameiponda ile mbaya.

    ReplyDelete
  6. Hebu tuwekee sie video ya Zari analikwepa taulo la Diamond, wewe si bingwa wa kuposti udaku na unadai uko neutral, weka hiyo clip sasa.

    ReplyDelete
  7. Kumbe ilikuwa Clouds White Party? Ndio maana Millard Ayo hajapost picha za Mwanza Insta Party wakati anadai blogu yake ni chombo cha habari.

    Haya Clouds kodi yetu tafadhali na mrudishe zile 3000 za watu mlizokomba kwa kuwadanganya mtawaonyesha live.

    Na nyie Diamond na Zari haya hayo mapato yenu tunataka Kodi ya Mapato fasta ifike TRA.

    ReplyDelete
  8. we malaya msema ovyo kwa hiyo ulienda kuchunguza na siyo kuhudhuria na kufurahi, mpe credit mwenziyo kwa kuwa mbunifu badala ya kuonyesha maungo yako yaliyoveshwa pumpers.

    ReplyDelete
  9. jamani si ndo maoni yake

    ReplyDelete
  10. Mjinga wewe dada kitu gani kilikupeleka si ungeenda kwa huyo Wemaa na party yake ya instagram? kimbelembele tu, ndoa imekushinda unabaki kuwaya waya,, pumbavu wewe!

    ReplyDelete
  11. Jamani mmesema saaaaana ila kila mtu ana uhurua wa alichokiona hivyo na nyie mlipaswa muandike mlichokiona jamani mmemnanga ana kosa gani yeye? Pampasi aliona na fashion yake kama ambavyo kila mtu anataka kutokelezea beeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad