Anti Lulu Awatishia Wake za Watu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake.

 Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinazomuonesha maumbile yake  ni wanawake.

"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kunitukana nikiweka picha zangu za Mungu alivyoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee mabwana au wanaume zenu kwa mlioolewa,mimi mmakonde na Mbondei..mtalia na kusaga meno" aliandika hivyo katika ukurasa wake wa facebook.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ah choko la kike hilo

    ReplyDelete
  2. labda abebe basha , limwili lichafu chafu hata bunyenga litakuwa limeshaoza kwa manyama uzembe!Hata bure sipigi huyu tembo.

    ReplyDelete
  3. M.mke wa maana lkn anatakiwa ajitambue kwanza hats umri wenyewe km wangu na Nina mume na wtt watatu atulie.

    ReplyDelete
  4. ..ndo maana jamaa alikula huko kwingine ..kama unayaweka wazi kwann asichomeke huko

    ReplyDelete

Top Post Ad