google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Aunt Ezekiel Awapa Makavu Watu Hawa Mtandaoni | UDAKU SPECIAL

Aunt Ezekiel Awapa Makavu Watu Hawa Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi naomba kuuliza kuna mtu nilimuomba humu kwenye page yangu anifollow???au nilishatangazwa kuomba followers mimi!!!Sasa ni mm ni mswahili mjue alafu habari za kukaa kutishiana maisha sipendi mana naona kila mtu mfundaji humu ndani kila mtu nyakanga vyote mnajua nyinyi!!

Mungu haombwi insta wala asalitiwi insta kila mtu na dini na kanuni zake kulingana na bando lake mimi nikiingia labour leo lolote lile litakalokuwa ndio matokeo na ndio mwenyezi Mungu alichopanga, hata nikajifiche wapi akisema Yes hakuna wakusema No .

So please jaman naomba kila mtu aishi maisha yake usinilazimishe mimi kuwa kama fulani huyo ni fulani tayari na mimi ni Aunty na hata siku moja uwa sijishow off wala kuishi maisha ambayo sio yangu yaani hayo yalishanishinda fake life sina Unanipenda mimi kaa humo huwezi kula haya ndio maisha yangu unataka hapa nipost picha niko flat huku nina tumbo!!!aaaah hebuni bana Mungu wang ndio kila kitu nawapenda wote …

Aunt Ezekel amendika haya kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya baadhi ya watu ambao wanamfuata kumshabulia kwa maneno kwa  kile anachokiweka kwenye ukursa huo.

Nadhani ujumbe umefika
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad