Baada ya Wema Kupromote Watu Wampigie Kura Ali Kiba Kill Awards, Diamond Aibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo Hizo ya Kill Awards

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia moja ama nyingine huku wakijaribu kuonyesha kila mmoja ame move on ...

Embu ona hiii : Wema Sasa amekuja na nguvu zote ana mtangaza Ali Kiba Kwenye Instagram yake na Kuomba watu wampigie kura kushinda Kill Music Awards wakati akijua kabisa Ali Kiba na  Diamond haziivi ...

Baada ya Muda Diamond Anaibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo za Kill Awards Kama Univyosomeka Hapa Chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dai anapomuumiza wema huwa anafurahi saana na mafumbo juu. but Wema akisema kitu yeye anahisi maumivu makali kiasi hawezi hata kuvumilia.

    ReplyDelete
  2. sasa Domo anaumia nini yeye si staa wa zt. anajua Wema anamaisha yake na atafanya atakacho kelele za nini. atulie alee mimba ya watu.

    ReplyDelete
  3. ANAJUA WEMA NA NYOTA KALI. NDO MAANA ANAHAHA SASA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We anonymous 12:14 ukali wa nyota ya Wema uko wapi?
      1.kudanganya kaolewa?
      2.kuumizwa kichwa na Dai na Zari
      3.mabifu kila kukicha kisa wanaume
      4.kuvunja ndoa za watu
      5.kulewa chakari kwa msongo wa mawazo
      6.kuishi nyumba ya kupanga mwananyamala
      7.kugawa uroda bure
      8.kujiuza ili apate kulipa kodi ya nyumba
      9.kujikoroga mpaka kaambulia mistari kaa zebra
      10.kujifanya kiswahili kinampiga chenga wakati ana matusi kaa mama ake??
      Hebu fafanua. Kama huna la kusema kaa kimya. pumbafff

      Delete
    2. mshikaji umeandika kilicho kweli na kweli tupu - big up

      Delete
  4. kiki zake na bi kizee zimeanza kupungua, anaona Wema hana habari kabisa anaanza kutapatapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bi kizee wewe na mama ako.

      Delete
  5. Domo anajua anaanza kuporomoka, machale yamemcheza leo mpaka kamtetea Ommy?? du kazi ipo.

    ReplyDelete
  6. Almasi si tajiri anakila kitu na anatarajia kuwa na mtoto na toy sex. sasa ya Wema anayafatutia nini atulie na azidishe kiki. anafikiri unafik wake hatuujui.

    ReplyDelete
  7. Wema alimuacha mwenyewe Dai alitaka Dai apate mwanamke Kama wakiina Penny wamnyanyase Na team zake lakini kakutana Na kisiki cha mpingo Zari,hiyo ya kumpugia debe Kiba ni kwamba hajamove on huyo Kiba hata akipata tuzo kumi Kama hafanyi kazi kwa bidii zikaonekana hawezi kuwa juu amsaidie kwanza kutoa video ya cheketua,kelele nyingi vitendo hamna.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ymafanikio take diamond yamemjengea maadui ?na ndio Wa tz walivyo.badala ya kuiga mafanikio wao wanawaza kukushusha.shida kweli!!!

      Delete
  8. Ampeleke kwa Ivan akachukue hela ya kushoot Video ya cheketua Rich gang keshatoa offer

    ReplyDelete
  9. Ushindani ni kitu kizuri sana,, ila Kiba hata afanyeje hawezi kumfikia Domo hapo alipo. Watu watamzarau Domo kutoka na Bi kizee lakini ukweli utabaki pale pale...Domo ni Bingwa wa muziki kama unavyoona mabingwa wa soka Brazil...Big up Domo!

    ReplyDelete
  10. Maskini ona sasa anaonekana snatapatapa bola ata asigeandika ... Mweeee

    ReplyDelete
  11. Huyo Wema wasanii Wake akina Mirror wanamshinda!

    ReplyDelete
  12. daimond wala ha hahi ila wao ndo wanao haha ovyoo miaka yote huyu biwema hajawahi kupiga kampen kiba kaona mwaka huu tu mxxxxxx ndo mujue kuwa bado amapenda daimond mana kafanya ivo ili daimond aumie lkn hata habari hana n hata asipo pata izo tunzo daimond atabaki kuwa juu tu labda atake mungu kumshusha lkn kwa fitina zenu wala hatashuka ndo atazidi kuwa juuu na kumtetea ommy ni kawaida coz ommy ni rafiki yake tena wa zamani kabla hata hajamjuwa wema na wema si alimuwacha mwenyewe daimond sasa anatapa nn mmmmh si kampa likizo sasa tena kinamuuma nn mara kaolewa mara kampeni kw kiba ooh mara anaolewa na ivann mmmh makubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akimtaja Diamond kwenye in my shoes mnakasirika, angempigia Promo mngelia kuwa hajamove on, nyie kweli viumbe wazito hambebeki.

      Wema amefanya kazi na Ommy Dimpoz na wala sio wapenzi Dai kanuna na mashabiki wake kutwa kumtukana Wema na Ommy. Hivi nyie huu uswazi mtauacha lini? Mtu akiachana na mtu basi asiwe na maisha tena ila yeye mwanaume ndio awe na maisha, awaalike kina Kajala apige nao picha yote sawa tu. Kweli mtenda akitendewa huhisi kaonewa.

      Mie nadhani badala ya kutukana mngemuweka huyo mtu wenu kwenye page zenu mkamfanyia promo au Bibie amfanyie promo na yeye si zamu yake sasa au anataka kwenda kupokea awards tu bila kuzifanyia kazi?

      Delete
  13. niungane na baadhi ya waliondika kwamba DAI ataendelea kuwa DAI na wala hatashuka kwa uandishi wenu wa kipumbavu wa kumtukana, na siku moja mtakuja kujua kwamba bwana mdogo si mwenzetu

    ReplyDelete

Top Post Ad