Baba Diamond Asumbuliwa na Ugonjwa..Diamond Hajawahi Kwenda Kumjulia Hali..Amuomba Mwanawe Amsaidie Asisubiri Afe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasa cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi ..
Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..

Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzika anamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unatia huruma lakini haya ndiyo malipo uliyowafanyia kipindi kileeee ulivyomtosa na mama yake

    ReplyDelete
  2. diamond akimsaidia huyu mzembe ntamuona mjinga!
    kipindi anaitwa nasibu alimkimbia, sasa anaitwa platinumz ndo unajileta, loh!

    iwe fundisho kwa wengine wanaojua kutia mimba halafu wanakimbia kulea.

    ReplyDelete

Top Post Ad