Bora Mwanaume wa Kibongo Kuliko Mwanaume Mkenya Kwenye Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yeye ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yeye tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uyo mbongo akiwa zaidi yake uta do?

    ReplyDelete
  2. sas tukushauri nini na yoote umeshajua tofauti ya jua na mvua mwamuzi ni ewew kwani kitanda usicho kilalia hujui uvunguni kwake piga chini haraka sana hao watru wana wenaweza wenyewe tu kwa asilimia mia moja yoote uliyeelezea hapa ni ukweli kabisa hao watu ndivyo walivyo wabnafsi sana na wanaroho mbaya sana hawana upendo kimbia haraka sna usigeuke nyuma atakupotezea muda huyo sio mume matirio

    ReplyDelete
  3. mdau nakuunga mkono. hata mimi nimeexperience hilo. hawa watu hawajui kujali lakini ni vizuri uwe unamueleza unavyotaka afanye na kinachokukera. ukikaa kimya hawezi kujua as ndo kawaida kwao.

    ReplyDelete
  4. POLE DADA, AWE MBONGO AU MKENYA TABIA NI ZILEZILE. KWA MAONI YANGU TAFUTA ATAKAYEKUWA SI KIKWAZO KWAKO. JAPO MAPISHANO YA HAPAA PALE YAPO LAKINI KWA TABIA HIZO UTAKUJA KUJUTA MAISHA YAKO YOTE KAMA UKIOLEWA NA MTU KAMA HUYO.

    ReplyDelete
  5. SIO WAKENYA WOTE WAPO HIVYO MM MBONA NIMEOLEWA NA MKENYA HUU MWAKA WA 5 NA HANA HAYO UNAYOYASEMA, HIYO NI TABIA YA MTU BINAFSI NA SIO KWA WAKENYA WOTE

    ReplyDelete

Top Post Ad