Breaking News: Walemavu wafunga barabara makutano ya Uhuru na Kawawa wakipinga kuvunjiwa vibanda vya biashara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Umati wa Walemavu wamefunga makutano ya barabara katika mataa ya Ilala na kusababisha magari kutokupita...Walemavu hao wanadai vibanda vyao vya kufanyia biashara vimevunjwa na jiji usiku na kuchukua baadhi ya bidhaa zao ...

Madai yao makuu ni kwa serikali kwamba haiwajali, Bora iwaue tu kuliko kuachwa wakiishi kwa tabu huku vibanda vyao vilivyopo sokoni Karume vikibomolewa.

Naripoti toka eneo la tukio.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HABA NA HABA UJAZA KIBABA JARIBU KUUFIKIRIA KWA UNDANI SANA HII METHALI INA MAANA GANI HASA UKILINGANISHA HALI YA MTANZANIA 3RD CLASS KIMAISHA JINSI ANAVYO TAABIKA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU BILA MATUMAINI JE?MWISHO WAKE UTAKUWA NI NINI SIKU HUYU MTANZANIA AKIJA KUCHOKA KUVUMILIA HIZO AHADI NYINGI AMBAZO NI ZA UONGO?

    ReplyDelete
  2. HABA NA HABA UJAZA KIBABA JARIBU KUUFIKIRIA KWA UNDANI SANA HII METHALI INA MAANA GANI HASA UKILINGANISHA HALI YA MTANZANIA 3RD CLASS KIMAISHA JINSI ANAVYO TAABIKA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU BILA MATUMAINI JE?MWISHO WAKE UTAKUWA NI NINI SIKU HUYU MTANZANIA AKIJA KUCHOKA KUVUMILIA HIZO AHADI NYINGI AMBAZO NI ZA UONGO?

    ReplyDelete

Top Post Ad