Campaign ya Ali Kiba Dhidi ya Daimond Platnumz Kill Music Awards..Daimond Adai yeye Sio Size Yao..Atawapelepweta Bure

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya kwamba kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ila it is not a coincidence ma ex wote wa Mwanamuziki Diamond Platnumz wanafanya campaign za kushawishi watu wampigie kura ally kiba...si kwa vile ni mashabiki wa ally kiba ila ni Figisu Figusu tuu na chuki za mafanikio ya Daimond

Alianza Wema, akaja Jokate na list itaendelea mpaka tukio la utolewaji wa Tuzo hizo... Vitu hivi vyote vinatokea sio kwa bahati mbaya ila watu hao kwa kujua Ally hana uwezo wa kushinda tuzo mbele ya Daimond baasi wameamua kwa makusudi kumfanyia campaign ally ili wafanye revenge ...

Ila uzuri mmoja Mondi bin laden amewaambia kuwa yeye sio size yao..... Atawapelepweta bure

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uwache ujinga wewe UDAKUZ. hata raisi anaweza mpigia alli kiba kama atampenda. so hawo maa x wa Domo ulitaka wampigie nani. wangempigia x wao pia mngesema wanajipendekeza binaadamu hamuachi unafik hata cku moja.

    ReplyDelete
  2. ULITAKA WAMPIGIE NANI DAI? ALAFU AJIONE ANAPAPATIKIWA AU... ANAKUMBUKA ALIVYOPATA 7 MWAKA JANA KWA AJILI YA WEMA, NDO MAANA ANAROPOKA ROPOKA TUU.

    ReplyDelete
  3. Domo amwambie bi kizee ampigie promo, aache wanaopenda ali wampigie, tatizo liko wapi kwa mfano.

    ReplyDelete
  4. ALI KIBA yuko juuuuu!! huyu domo bila gia ya mheshimiwa pale mjengoni angebaki na domo lake tu hivyo hivyo!! BIG UP Ali K!

    ReplyDelete
  5. Hacheni ujinga wenu hata mfanyeje Diamond yuko juu na juu zaid hata kiba akipata tuzo 10 bado sanaa atasubili sanaa dai mwenyewe hana mpango na hizo tuzo nalevo ya kimataifa huyo

    ReplyDelete
  6. mwandishi bwege wewe dizaini unataka diomond apigiwe kura, kila mtu na maoni yake

    ReplyDelete
  7. Eti Domo ana level ya kimataifa???For realy? Bado sana kuwa nominated BET ndio mumpe promo kubwa ki hivyo,,,,,Yupo Juu Bongo Tena Dar sio kila mkoa wa Tanzania una mfagilia,,,,,Kimataifa labda Naigeria Davido alisema atamfanya awe femus,,,, ukipenda mtu sio usifie ujinga yupo juuu kwa kubadikisha na kuzalilisha wanake hapo sawa,,,nayeye si anategemea kupata mtoto wa kike asubiri akue aone atakovyo zalilishwa,,,,,

    ReplyDelete
  8. Fara wewe anazalilisha wanawake wewe umepitia na kuwaacha wangapi? Wivu tu ndo unawasumbua na roho zenu mbaya

    ReplyDelete
  9. huyo jamaa ni fara sana huyo kiba ndiye anayezalisha na si ajabu hata watoto wengine hawajui DAI ameshazaa na nani wewe msenge? acheni wivu zenu za kijinga mtasubuli sana. (MTAPIGANA SANA LAKINI HAMTAFANIKIWA) WAJINGA SANA MNAOMUONEA WIVU

    ReplyDelete

Top Post Ad