Dada wa Diamond Esma Platnumz Aitetea Ndoa yake..Hataki Tena Kuona Urafiki wa Kajala na Mumewe Petit Man..Asema haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kajala Kufunguka na Kusema kuwa Anawashukuru Wema na Petit Man kwa Kumsaidia na kumfikisha hapo alipo na kutaka urafiki wao urudi kama zamani , Mke wa Petit man ambae ni Dada wa Mwanamuziki Diamond ameshtuka na Kuandika hayo hapo chini kwenye ukurasa wake wa Instagram..


  • "Umeongea Point my luv ..hauwezi kuwa kama zamani Pettty na Kajala nooooo...lazima sehemu kutaharibika kwa upande wa Pettty" Esma Platnumz


Kitendo cha kuandika maneno hayo ni kile kinachoonekana kuitetea ndoa yake kwani inasemekana kwa Petit man alishawahi kuwa na uhusiano wa Kimapenzi na Kajala..

Je unamshauri nini Esma?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwaya ESMA ABIRIA BEBA MZIGO WAKO SHOSTI TENA USILINDE BEBA KUMBATIA USIJEPITIWA USINGIZI WAJANZA WAKAKUSAIDIA.

    HUO URAFIKI NOOOOOOOOOOOOOOO BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  2. acha wivu wa kijinga!!!

    ReplyDelete
  3. Yuko sahihi Esma, ni marufuku kumruhusu huyo Kajala kuwa karibu na Petit na Wema, kwanza haaminiki na yeye mwenyewe kajivunjia uaminifu

    ReplyDelete
  4. Huyu mwanamke bora arudi Manzese akakae na mama alee mtoto wake wasanii hawawezi, maana wenzie sera yao akirudi nyumbani wake akitoka wa wenzake atakuja kula sumu bure huwezi muwinda binadamu. Kubal kushare mama.

    ReplyDelete

Top Post Ad