Dada wa Diamond Esma Platnumz, Mke wa Petit Man Ajifungua Salama Mtoto wa Kike

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ujumbe Alioandika Dada wa Mwanamuziki Diamond Baada ya Kujifungua mtoto wa Kike

Esmaplatnum
"ooh mungu wangu asante kwa kunipa zawadi hii tena maana hii ni zawadi nakukabizi malaika wakoumpe makuzi salama na yenye afya tele umuepushe na kila husda za walimwengu nasema asante mwenyezi mungu kwani hakuna wa kumuomba zaidi yako wee ndio mpanga na mpangua kwako hakishindikani kitu bac nakukabizi malaika wako ukamlinde baba nasema asante sikuchoka kukuomba nilalapo nisikiapo uchungu jina lako lilikuwa mdomoni kwangu umesikia maombi yangu nasema asante "
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eti nakukabizi nyanya lini kuandika?kabidhi bwana,urudi shule,by the way hongera sana

    ReplyDelete
  2. Eeehh sawasawa, kuzaa muzae na kuwalea pia mjue.

    ReplyDelete

Top Post Ad