Diamond Amuita Jokate Makombo, Mwacheni Ali Kiba Ajilie

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo.

Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu ‘Madam’ wanamuunga mkono Ali Kiba.

Pamoja na kudaiwa kuwa Jokate ana uhusiano wa ‘kimalovee’ na Ali Kiba na mwenyewe kutokubali, ameungana na Wema kuendesha kampeni ya nguvu kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu wampigie kura Kiba kwenye Tuzo za Kili 2015 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kampeni ya kuuangusha ufalme wa Diamond kimuziki.

Baada ya mwanahabari wetu kuujua ‘mchezo huo’ uliopamba moto kama moto wa kifuu mitandaoni ndipo alipomuuliza Diamond anauzungumziaje ambapo kwanza alikiri kuufahamu na kudai ameudharau maana hauna jipya.

Hamna jipya waache waendelee kumpigia kampeni (Kiba) lakini mimi nafanya muziki wangu, mashabiki wanafahamu. Kwa hao watoto wa kike, hakuna kipya kwangu si kimuziki hata maisha yao binafsi.

Wema namjua vizuri, Jokate ndiyo usiseme. Mwache huyo Kiba aendelee kula makombo kwa Jokate kama ameamua kipita njia nilizopita si mbaya, inaruhusiwa,” alisema Diamond.

Jitihada za kumpata Jokate ili aweze kufunguka kuwa anajisikiaje kuitwa makombo na Diamond hazikuzaa matuda kufuatia simu yake kuita bila kupokewa, jitihada zinaendelea.

Chanzo: GPL

My Take,
Huku ni kudhalilishana kwa sababu wasanii wa kibongo kuchukuliana ndio fashien. Naye anayemtumia mke wa mtu hali makombo? Ifike hatua nao hawa wasanii wa mwaka 2006 waolewe wawapishe vijana wapya enzi zoo zimeisha wasije kukutwa na ndala wakati wa kuolewa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Domo anahaha kila mtu anajua, sasa Jojo na Zari nani anaekula makombo tena Zari kashamalizwa africa yoote, yeye ando anamuona mpya hahahaaaaaaaaaaa, kwelibora ukose pesa kuliko shule.

    ReplyDelete
  2. kwakweli dai hajitambau naona kasahau kama bi kizee 41+ ni makombo ya africa nzima yeye kabambikiwa tuu.

    ReplyDelete
  3. siku hizi Domo kapunguza kiki naona kashajua makombo anayokula kachanganywiwa na vidudu.

    ReplyDelete
  4. ANAHAHA HUYO, ANAWATAMANI MAA X WAKE. HANA RAHA KAINGIA CHOO CHA WENDAWAZIMU. ZARI NDO MAKOMBO YALOCHACHA NA ANAYALA MASKINI DOMO

    ReplyDelete
  5. makombo nani? joket au Zarina, huyu Almasi kashachanganyikiwa, anafikiri yeye atakuwa juu kwa sababu ya Zari kumbe analiwa kiaina. atulie na zee lake, asitafute kiki za kijinga.

    ReplyDelete
  6. He has to grow up

    ReplyDelete
  7. Kwahili mond nimekuchukia. Hivi Kati ya wewe na kiba nani anayekula makombo. Jkate Ni makombo dawa lakini hata hajawahi kufungua k yake cm10 namaanisha leba haijui sasa hiyo zari Wako kashalambwa na wangapi? K yake ishafunguka cm10 Mara ngapi. Uwe unachagua vitu vya kuongea lopolopo Tu ka domo lako lilivyo. Nampenda kiba mstaarabu mtulivu Hana skendo za kijinga ka ulivyo wewe Kutwa kutafuta kiki. Kwanza kiba anajitambua sio wewe bado unacheua maziwa ya uchanga

    ReplyDelete
  8. Hajachnganyikiwa ni LIMBWATA LA KIGANDA HILO! ni kali kuliko la kiBongo.... Kwa hiyo wa Bongo kaeni chonjo

    ReplyDelete
  9. yani huyu jamaa ana dharau kweli, kweni yeye hao mbona yeye domo naye alikula makombo? or alimkuta jokete bikra? hana adabu huyu, na hana malezi bora kwakweli, then anajifanya ana muheshimu mama yake. jamaa ana sifa sana weee mwache tu atajuta coz his days are numbered. Ameona kasha fika, kwa kwenda kufanya shoo za ulaya na amerika, he just a damn mother fucker bitch... I just don't like him period. I don't know where his mother is, hope she will get better so aweze kumshauri mwanae hao kina babu tale don't do shit...wanatengeneza ela yao, pindi diamond akioanguka wanatafuta msanii mwingine. Diamond is out of control, he need help, seriously, something not right about him. you cant talk about jokete eti makombo wakati wee unalea mimba ya international prostitute ambae there is possibility akawa si mototo wako, can you see that, who you want to fool km zari sio international prostitute?? hiyo mimba kabeba baada ya doctor kumshauri asiitoe only coz ameshato mimba nyingi. SHUT THE HELL FUCKUP na usome ramani you damn fool

    ReplyDelete
  10. Si unajua kimpya kinyemi zari na muon

    ReplyDelete
  11. kama unamwita Kidoti wangu makombo sababu katumika, wewe ni makombo zaidi sababu umetumika sana.

    ReplyDelete
  12. DU bora uishiwe pesa sio akili

    ReplyDelete
  13. analaana huyo c bure!joket na zar nani makombo.zari kapita kwa wanaume zaid ya kumi ndo kaja kwako wee ni wa 11kwa zar.so ww na kiba nan anakula makombo?tena makomb yako yananuka!

    ReplyDelete
  14. umeongeya utumbu bwege mkubwa

    ReplyDelete
  15. Heheheheheheee Dai umeona faida ya kuambatana na wavuta bangi? Mpaka na wewe umekuwa mvuta bangi na mropokaji.

    Kweli nyani haoni kundule, hivi wewe na Kiba nani anakula Makombo?

    Zarina keshazaa mara 4, na hiyo mimba unayoitegemea kuwa yako ni ya mtoto wa 5. Keshatoa mimba kabla ya hiyo yako na huko nyuma hatujui alishatoa za wanaume wangapi. Huyo naye ni nini kama si Makombo waliyokula wanaume wenzio? Tena mwenzio aliolewa kimila kabisa sasa huyu Jokate kaolewa wapi? Kazaa kwa nani?

    Wewe Hamnazo hebu punguza maneno machafu uko kwenye wakati mgumu sana kwa sababu wanawake waliofikisha miaka 40 uzazi wao ni wa mashaka na wako kwenye risk kubwa ya kuzaa mtoto mwenye matatizo hasa Down Syndrome badala ya kuconcentrate kwenye issue ya mwanamke wako ambae yuko kwenye risk ya kuzaa utu uzimani unahangaika maisha ya watu.

    ReplyDelete
  16. Ndio maana unavaa hereni 2 siku hizi, hivi unajua maana yake au unajivalia tu mtoto wa kiume?

    ReplyDelete
  17. Na yeye alikula makombo ya waliopita kwa Jokate kabla yake kina Hasheem Thabit. Pia alikula makombo ya Chalz Baba, Marehemu Kanumba etc.

    Mwanaume unapowatukana wanawake usisahau kuwa unamtukana na mama yako mzazi pia, je yeye Diamond ni mtoto wa kwanza kwa mama Naseeb, anasemaje kuhusu Esma ambaye amechanganya damu. Huyo Dogo jinga kabisa hana adabu kwa wanawake wote including mama yake Mzazi.

    ReplyDelete
  18. bora yeye kiba anakula makombo kuliko wewe unatapika na kisha unarudia kula matapishi

    ReplyDelete
  19. Hata huyo jokate Ni Malaya WA kutupwa hatofautian na zari,tukianza kuhesabu Jokate Hana tofauti mzee machache,thabit,domo,aly k,wengine wake madanga WA kimya kimya WA kuwatumia tiketi ya ndege

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaimba kwaya hi hi hi hi hi UDSM enzi zake alikuwa anakesha mahotelini na kina Lundenga. Lundenga anaoiga 10 percent ya kuwaunganishia mabwana. Nilikafuma live kanatapika hovyo pombe, later kakabebwa na jibaba haoooo huku lundenga anachekelea.

      Delete
  20. Haluwa haina makombo waswahili walisema

    ReplyDelete
  21. ndugu mwandishi hata wewe ni mdalilishaji, hizo ndala anazo mama yako mzazi,

    ReplyDelete
  22. Kwa dunia tuliyo nayo hii ni lazima wanaume tule makombo.
    Ulim wa Dia haukuuzibit alilopoka tu,
    Hv wanawake wote aliotoka nao kimapenz aliwatolea ubikira yeye au .?
    Mbona naona wote aliopita nao kawakuta wajanja wameshawapitia nae ndo karudia makonbo vilevile.

    ReplyDelete
  23. Bora elimu kuliko pesa.

    ReplyDelete
  24. sikuzote apendwaye ndio hutukanwa!!!! sishangai kama mulipata muda na kusoma kilichoandikwa bila shaka nynyi mnapenda nassib!!! matusi hayafai ila hongeren kwa kufaham mapenz yapo kwa dangotee!!!! pamoja wapenzi wa chigguuuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  25. tunda halinaga makombo bro domo....

    ReplyDelete
  26. yani huyu Dai yarabi sasa ninajua kwa nini wanaomchukia they hate him with passion, eti nini? makombo? google search jokate kama utakutana na sextape u tube mbwa wewe..ila unayoikalia na kuingia chumvini sasa hivi ndo makombo yaliyochachaa..shenzi type sio kwa kunitukania mdogowangu hivyo. u ask fr it, kumbatia bushy p*s*s* iliyo na bwawa waache watoto wa wa watu, ukizingatia wao ndo walikumwaga hilo hilo hilo....kuanzia leo sikupendi sifa mdomo umekutepeta kulamba k ya bibi bomba, naona ndo umekuwa ant fungal, ant bacteria na kila kitu nyoko@DOMO

    ReplyDelete

Top Post Ad