Diamond:Tayari Nimeshamvalisha Zari Pete ya Uchumba, Ndoa ni Mwaka Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.

Diamond ameyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV kuelekea katika shoo ya Zari All White Party itakayofanyika leo usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

Katika mahojiano hayo ambayo Diamond ameambatana na mpenzi wake huyo, ameongeza kuwa anatarajia kuingia katika ndoa mwaka huu.

Kwa upande wa Zari yeye amefunguka kuwa bado hajajua jina watakalompa mtoto wao wa kike anayetarajiwa kuzaliwa mwaka huu ila watampatia jina zuri la Kiislam na lenye mvuto.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari ni mkristo anajaribu kujipendekeza tena kwenye uislam, hana jipya pete avalishwe bila matanga ya kwenye magazeti? hakuna ndoa hapo ni sifa za kijinga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA UBAGUZI WA KIDINI WEWE!!

      Delete
  2. DOMO ANA ACT TUU ILI APATE MTOTO, HAWEZI KUOA NI MUONGO SANA, BI KIZEE KAPATIKANA HAJUI KAFIKA KWA MTOTO WA TANDALE YY APANUE TUU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU WAKO HUNA LOLOTE!! UNATAMANI WEWE NDO UNGEKUWA DIAMOND!!!

      Delete

Top Post Ad