Did Wema Sepetu Disclose The Woman Who Might Cause Zari And Diamond’s Break Up?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

This Is Diamond Platnumz Rumored Girlfriend Who Lives In London !

Wema and her following are seriously looking for a way to piss off Diamond and his wife. It’s evident that sooner than later this parties will clash badly.

The war already began amongst their fans, so the clock is ticking before the celebrities blow up at each other faces. The reason am assuming this is because there are some photos being circulated by Wema Sepetu’s fan page.

This photos apparently belong to the woman behind Wema and Diamond’s split. The fan page has been tagging Zari on the other womans photos with the caption “Muke mdogo”.



As petty as it sounds this seems to have gotten to Zari who replied with a strong quote directed to her haters.

As for now I am not sure who runs the Wema fan pages but question is, how would these pages have personal information about Wema and her ex if she is not involved with the whole scandal herself?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUPISHE HAPA KUMCHAFUA TU MTOTO WA WATU. HAMUUZI MAGAZETI BILA WEMA.
    NYOTA YA WENGI HIYO, MUNGU AZIDI KUMUWEKA MAANA MJINI MTAHAMA WENGI MXXXXX

    ReplyDelete
    Replies
    1. Udaku remain anonymous pliz...

      Delete
  2. Sawa sawa Wema. Kisichokuwa chako hakidumu kama wewe ulivvyotemwa na CK. Hakuwa wako ulimtoa kwenye ndoa yake takatifu kwa nyege zako. Na hakudumu na wewe. Hata huyo Dai sio wako na hatakuwa wako. Wewe utabaki kuwa pozeo au mchepuko wa every Tom Dick or Harry. Naona Dai na Zari wanakunyima amani. Hata wakiachana leo the fact remains wamekukomesha mpaka unajizushia umeolewa mara ulewe mbendembende na ugumba juu. Malaya mbovu weee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwan WW sio Malaya?Kuna Mt anajua tabia yako?huyo mme WA Mt wakat anaenda kwa Wema hakujua kama anafamilia?Ni waume za wat wangap wanatembea nje ya ndoa zao?au kwakua sema Ni maarufu?hebu tuondolee shombo

      Delete
  3. Mbona huyo Diamond anajulikana siku nyingi kwa umalaya wake. Kwanza kiukweli mwanamke ukiwa unampenda mtu husikii wala huoni. Walio nje ya mapenzi yenu ndio wanamuona bwana au mume wako viwanja akiwa anacheat na wanawake wengine. Mpaka wewe mwenyewe mwenye mume au bwana ukijajua inakuwa watu weeengi washajua, kwa hiyo ni UWONGO MKUBWA KUMSINGIZIA WEMA.

    Kwanza ana fans all over the world, pili Diamond ni limbukeni wa mapenzi akifika mahali anaozea hapo hapo. Tatu inawezekana huyo mwanamke mwenyewe ndio kaamua kutoa hizi habari ili Zari aondoke yeye ashike usukani. Kwani huyo Zari akiondoka Diamond ataendelea na huyo huyo aliyenae na si Wema kwa kifupi atakaenufaika na breakup ya Zari na Diamond ni huyo dada wala si Wema. Na wala huhitaji kutumia rocket science wala akili ya darasani kujua na kuchanganua hayo ni hata akili ya Zezeta inaweza kujua nani atanufaika na kuachana kwa baba na mama. Au hujaona mahawara wakipiga simu kwa wake za watu wao wenyewe? Au wakirusha picha za waume za watu kwenye IG au facebook?

    ReplyDelete
  4. Hivi mbona mnapenda sana kumuingiza wema kwenye ambayo hata hausiki??? Huyu wema hata huko UK kwenyewe hajaenda useme ndo mwenye picha, hizo picha za domo kuimbiwa nyimbo kazipost domo mwenyewe kwa kutafuta sifa, now wema anaonekana ndo katoa siri na kutoa picha, daaaa kweli watu mnamambo.

    Huko IG kuna miaccount kibao ina majina ya watu hata nyingine zinatumia majina ya diamond, zari, kajala, lulu, wema, kiba ina maana hio miaccount yooote wamiliki ndio wenye hayo majina??? Acheni kumuonea wema huyo D itakuwa kweli kwa sababu hakuna kashfa iliyowahi kutoka ya D na mwanamke ikawa ya uongo. Kashfa zote huwa ni za kweli hakuna ya uongo na yeye hizi ndio story anazozipenda anajua weekend hii yoooote yeye ndo atakuwa main agenda kesha break the internet..

    ReplyDelete
  5. UMBEA,
    MBONA HAMJAWEKA PICHA WAKIWA WAMEGANDANA?

    ReplyDelete

Top Post Ad