Dude, Mtitu Nitakufa kwa Mipango ya Mungu Lakini si Kwa Kutaka Ninyi-Steve Nyerere

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .

Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.

Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye sisi tupo wapi tuliokuwa nae karibu tunacheka nae tunakunywa nae nikamuomba mke wa marehemu Adam tuchangie kama wasanii wenzie  akakubali baada ya apo nilibeba jukumu hilo . Nikampigia JB, JB akasema anachangia laki tatu.

Nikampigia Mh makonda akachangia laki saba jumla tukapata milioni moja na kumkabizi mke wa kuambiana. So mpaka siku ya misa mke wa marehemu Adam alinishukuru kwa msaaada huo tatizo kwangu lipo wapi.

Akatokea Dude na kusambaza Dude na wenzako mnazijua naomba kukwambia na kuwambia  watanzania wenzangu. Kuna kundi la watu 5 tena wasaniii wanatamani Steve Mengere afe leo wanaangaika uku na kule Dude nitakufa kwa mapenzi ya mungu Mtitu nitakufa kwa mapenzi ya Mungu . Mnatoa hela kwa waandishi wanichafue kwenye mtandao hahahaha.

Kauli yangu wabaya watu wazuri watu simba awezi toka serengeti akaja mjini kukualibia. Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe .

Wasaniii hamuwezi kuwa wamoja ata siku mmoja kwa roho mbaya mlio nayo bora kumfadhili mbwa msanii tena wa move ana shukulani ata kidogo . Ipo siku umuimu wangu mtaujua tuuuu.Mungu ni mwema kwa kila jambo .
NITAANDIKA KITU BADAE

By: Steve Nyerere on Istagram

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad