Ester: Jamani Mastaa Acheni Kuiba Waume za Watu!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Movies mwenye mvuto wa aina yake, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri. Akizungumza na GPL Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote.

 “Siyo kwamba sijawahi kuwa na mume wa mtu, nilishawahi lakini nimetokea kuwachukia sana kwani hawana faida zaidi ya kuwapotezea wasichana muda wao, nimejifunza mengi na sitarudia tena hivyo nawasihi wenzangu waache kuiba waume za watu kwani watarogwa tu,” alisema Ester
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KESI YA NYANI KUMSINGIZIA NGEDERE NDIYE MWIZI WA MAHINDI WAKATI YEYE MWENYEWE NI MWIZI MZOEFU WA MAHINDI

    ReplyDelete

Top Post Ad