Faiza Ally Aongelea Vazi Alilovaa Zari White Party na Wanaomponda "SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

faiza_ally
"Hahahaaa unajua nini kuna comment nyingi sana za kuponda vazi langu la shati ambalo binafsi nimelipenda sana na nilikua nafurahia toka nilipo waza tu kulivaa yaani mpaka nikalinunua na siku ikafika nikavaa na nikajisikia vile ambavyo nilivyo taka kujiskia- special #simple #happy ️SASA ajabu inakuja ambavyo mnaponda na ukiangalia asilimia 95 ya wanawake walio kuwepo walivaa nguo fupi wengine zaidi hata ya shati langu mfano mzuri hata mtangazani alie nihoji amavaa nguo fupi yaani tofauti yeye ni gauni mimi shati- vimini vigauni vilikua ufupi wake sawa na shati lkn kwa akili zenu fupi kama mazoe mkaona shati tu na hii yote kwa sababu mmekariri vitu mlivyo zoea kuona na mkiona kitu tofauti hamkubali - oyaa acheni upumbavu angalieni picha za watu walio hizuria nguo zao na shati langu kama lina hiyo tofauti ktk ufupi ambao mpaka una sababisha kunikashfu! SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia# na nikiwajibu hivi maana nawafundisha kitu sio kwa sababu mume nikwanza ni kwamba naona tu akili zenu zinatakiwa kubustiwa kwa kuwa pambazua pumbavu zenu "

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I think she is right! Kwani issue hapo ni nini ? Shati au ufupi wa nguo? Sometimes watu wanatumia 'makota' kuwaza.

    ReplyDelete
  2. udakuz mbona hukuweka Faiza alivyoiponda parti? unaruka hee

    ReplyDelete
  3. FAIZA ANAVAA ATAKAVYO, NA KAIPONDA SANA PARTI ILIKUWA HAINA MFUTO, JAPO MATANGAZO YALIKUWA MEENGI.

    ReplyDelete
  4. jamani si walisema Dai atafungua tv station mbona haikuwa zaidi ya nguo nyeupe na nyimbo tuu.

    ReplyDelete
  5. part ilikuwa mbaya na ac hakuna watu walikuwa hawaelewani si wa laki, wala hamsini woote fekero. na wale alolipa alefu tatu kwenye cm zao. hahaaaa mjini shule. mmeingizwa mkenge kwa sifa za kijinga.

    ReplyDelete
  6. Poleni mliokuwa mnajipendekeza na kelele nyingi! niliwaambia mishahara yote itakimbizwa Uganda,,wabongo mlie tu!

    ReplyDelete
  7. sanda part ilikuwa mbovu na wizi tuu, watu wameliwaaaa.

    ReplyDelete
  8. Hivyo? Matangazo yote yale

    ReplyDelete
  9. Iwe mbaya au nzuri ela ndio ishaingia 1 bilion 800 milion haya endeleeni kutafuta nahau na roho zenu za kimaskini PYEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  10. Twajilia taratibu,wabongo kwa husda!

    ReplyDelete

Top Post Ad