H-Baba Afunguka Kuhusu Kumwekea Bleach Kichwani Mtoto Wake, Adai Lazima Aishii Kistaa Kama Wazazi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

H-Baba asema lazima mwanaye aishi kisanii kama wazazi wake,afunguka kuhusu kumuweka 'bleach'
Msanii wa bongo Fleva,H: Baba amewafungukia mashabiki wake waliomjia juu baada ya kumuweka dawa ya nywele'bleach' mtoto wake,Tanzanite mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mashabiki walimwambia msanii huyo kuwa bleach siyo nzuri kiafya kwa mtoto huyo,H: Baba akijibu tuhuma hizo alisema kuwa lazima mwanaye aishi kisanii kama wazazi wake na kwamba yeye kama mzazi hawezi kumuharibu mtoto wake.
'Watu wanashindwa kuelewa mimi sijampaka mwanangu bleach hiyo ni hina pia hina ni suna kwa dini yetu ya Kiislam sioni tatizo hapo,'alisema H: Baba.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe tayari umeisha lost in the name of humanity muache mtoto wako akue na afya yake natural madawa unayompaka mtoto wako kichwani have u ever heard somethin'called "SKIN CANCER"?kutokana hizo chemicals unazompaka mwanao kichwani PLEASE! If u real care&love ur baby boy STOP DOIN'THAT SHIT 2 HIM B4 IT'S TOO LATE U CARELESS MUMA

    ReplyDelete
  2. nawewe sio him ni she.......kasema hajaweka dawa kamuwekea hina which is ok.......despite that fact that wanatakiwa motto aishi na kukua kitoto wache hayo mambo ya motto aishi kistar matokeao yake wana muexpose motto kwenye mambo makubwa unlike her age ananza kukumbwa na dhoruba bado mdogo....the bby must look smart not sex wazaz wengi tunakosea sanaaa plus na hiz tamhilia tunazowatch bas tunakua brain washd.........one thing tujiulza malez yetu na ya sasa hv yap bora? motto wa mwaka 1980 na wa mwaka 1998 yaan ni watu wawil tofaut kutoka ulimwengu tofaut, lets our kids remain safe tusiwachanganye na mambo mengi sanaa wakija kua watu wazima au wakikua watachagua wao as for now tuwaonyeshe na kuwakuza kwenye madil mazur ili badae wasitulaum au tukajutia ......

    ReplyDelete
  3. Waeleze hao hawajaenda shule, wanafikiria kuwa staa basi ndo kila kitu

    ReplyDelete
  4. Mtoto ni wake sasa kinawawashia nini khaaa mzae wa kwenu wa kuwafunda ibilisi mpwinto!

    ReplyDelete

Top Post Ad