Henry kilewo :Nasikia Zitto Anataka Kugombea Ubunge Dar es Salaam, Nipo Tayari Kupambana Naye Jimbo lolote na Kumshinda, Nataka Kuuzirishia Umma Kuwa Alikuwa Anabebwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

'Nilisikia kipindi fulani kuwa kuna mtu mmoja aitwaye zitto anataka kugombea jimbo moja wapo la Dar es salaam...Nataka niuambie umma ya kuwa nitopayari kupambana na huyo mtu anayeitwa zitto kwenye jimbo lolote atakalo tangaza hapa Dar es salaam na kuachana na Mwanga niliyoijenga tokea mwaka 2011na kumuachua kijana makini salimu simbano marijani (Chadema) na kupambana na mtu huyo... Sina hofu nipo vizuri kama huyo mtu anayeitwa zitto anao huwo uwezo tuandaliwe mdahalo wa live mimi na yeye watu wajimbo husika na wasiyokuwa wajimbo watupime kuanzia hapo.
Nataka tuonyeshe umma kuwa mtu huyu alikuwa anabebwa na taasisi na hana uwezo kama yeye binafsi...
Henry kilewo
2015 mwanga we shall overcome.. '
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umelogwa na nani wewe mavi matupu hamna haja ya kupiga makerere njoo mwanza ufanye mkutano uone kama utapata hata watu 10 tu ndo utajipima

    ReplyDelete
  2. Umelogwa na nani wewe mavi matupu hamna haja ya kupiga makerere njoo mwanza ufanye mkutano uone kama utapata hata watu 10 tu ndo utajipima

    ReplyDelete

Top Post Ad