Huddah Monroe Apagawishwa na Mtoto wa Mahita Mpaka Ashindwa Kuhudhuria Party ya Zari All White Party

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama unakumbuka mmoja wa Wageni wa Party ya Zari all White Party pale mlimani City alikuwa pia Mrembo Huddah Monroe , Lakini Pamoja na Kuweka picha kwenye Instagram Akiwa Ameshatua Bongo kwa Party hiyo akiwa hotelini pale Hyatt zamani Kempinski Mrembo huyo hakuweza hudhuria hiyo Party ..

Sasa ubuyu uliopo mtaani ni kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party hiyo ni mtoto wa Mahita  a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale Hotelini na kuanza kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa hao wawili ulihamia kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha hapa chini kwenye picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa kwenye Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga Picha ya Pamoja...



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu kumbe in ubuyu eehh!! yeye akikutana na mwenye fwedhaa sehemu yeyote anaenda liwa!! dahhh pesaaa cyo muchezo!!

    ReplyDelete
  2. Mtoto wa kigogo Mahita!
    Mzee nyumba kila mkoa tz, mtoto kicheche kila mkoa east afrika.

    ReplyDelete
  3. Mtoto wa kigogo Mahita!
    Mzee nyumba kila mkoa tz, mtoto kicheche kila mkoa east afrika.

    ReplyDelete
  4. Drug mule hana lolote

    ReplyDelete

Top Post Ad