Huku Mapigano Makali Yakiendelea Huko Burundi, Rais Nkurunzinza Aingia Nchini Humo Kwa Kutumia Helkopta Baada ya Jana Kushindwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BREAKING NEWZ
Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kupoteza maisha!
........Vile vile inasemekana Nkurunzinza amerejea Burundi kwa usafiri wa helikopta leo alfajiri akitokea DSM, na kushuka ktk kijiji kilichoko mpakani mwa Tanzania na Burundi. Haieleweki ameelekea wapi baada ya kutoka ktk kijiji hicho! Ila mashuhuda wamesema msafara wa magari yapatayo kama sita ulikuja kumchukua kutokea katika kijiji hicho!!
.............Source. Reuters& France 24 english - ...................HUYU MTU NI MBISHI SANA I HOPE KUNA VIONGOZI WETU HAPA BONGO WANAOTAKIWA KUJIFUNZA WEWE HAUJAZALIWA NA MADARAKA UMEYAKUTA NA UMEYAPATA KWA SABABU KUNA WALIOKUBALI KUKUACHIA BILA VITA WALA UGOMVI SASA KWA NINI NA WEWE HUTAKI KUACHIA WENGINE KAMA ULIVYOACHIWA? ...MIAKA 10 KWENYE POWER UMESAHAU NINI HASA AMBACHO SASA NDIO UMEKIKUMBUKA BAADA YA MIAKA 10 gademiti ONDOKA BANA WAACHIE NA WENGINE KAMA ULIVYOACHIWA KWA AMANI! - le Mutuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad