Huyu House Girl Anaelekea Kuvunja Ndoa yangu Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana

Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.

Mdogo wangu wa kike ndio akazifanya zile kazi nyumba imekua very tense bomu linaweza kulipuka any time wife anamwandalia pesa zake aweze kuondoka maana kwa mawazo ya wife anadhani kwa kuwa hatujamlipa mshahara miezi mitatu mfululizo ndio maana analeta kiburi kumbe ni mimba.

Sijui niongee na Chale akodi wavuta bangi! Wakuu kati yenu kuna mwenye jawabu ya hili tatizo? Hivi kwanini huyu binti ananifanyia hivi!? Kwanini asikubali kupokea hela akaondoka, kila nachomwambia hataki, anasema eti nitamwacha, sasa Mimi simtaki tena, kwa nn tunalazimishana?

Wanaume wapo kibao why me? Wangapi wametoa mimba hawajafa? Mke wangu mwenyewe alishika mimba huku tuna mtoto mchanga wa miezi sita mbona aliitoa na hakufa? Sasa yeye ni nani hasa asitoe, mi naona nikodi wahuni tufanye elimination method.

Wadau nyumba inaungua naomba kwa imani zenu wote mniombee naahidi sirudii tena nikipona na janga hili maana wife wangu hanaga mchezo kabisa na mambo ya uzinzi msg tu ya simu alitaka kuniacha huko nyuma.Kuna mganga anaeweza kubadilisha matokeo ya tatizo kama hili?

By Navin-govind-JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unajua unapoomba ushauri kwa jambo la kipumbavu uszani watu wote ni washenzi kama wewe hv wakat unamtumia huyo bint ulituomba ushaur au hukujua kuwa una mke wajinga kama nyny sehem zngne tunakunyOngelea mbali IQ SIFURI KABISA!SHENZI MTUNZE HUYO BINTI!

    ReplyDelete
  2. Nakufahamisha kwamba, katika wajinga wewe ni mshika bendera. Na ole wako nisimjue mkeo, ningekuwa namba moja kumpa taarifa.

    ReplyDelete
  3. kwa nini umfanyie kitu mbaya kwani ulipo lala naye hukujua kwamba litatokea pia hukujua kama una wife hapo inabidi umjulishe wife ili muweze kulimaliza kifamilia ndipo mumrudishe huko mlipomtoa pia utunze hiyo mimba swala lakutoa mimba kwanza nikosa la jinai watakusaka ufunguliwe mashitaka

    ReplyDelete
  4. koma kabisa hivi hukuona mwanamke mwingine mpaka huyo dada tu? tena msichana wa kazi si ndio kumfanyia dharau mkeo? tena kama namjua huyo dada wa kazi ningemwambia asitoe wala asitoke hapo ili akukomeshe malaya mkubwa wewe. ulishindwa hata kutumia codom? hivi uogopi hata magonjwa yalivyo sasa

    ReplyDelete
  5. yaan wew na mungu hamjuani

    ReplyDelete
  6. Utavuna ulichopanda! So u gotta to face the consequencies Mr.Loverman

    ReplyDelete
  7. mpuuzi wewe usiejielewa

    ReplyDelete
  8. wewe ni mpumbavu wa kupindukia uso kuwa na maana kabis...ulikuwa na haja gani ya kumtumia binti ya watu na unajuwa una mke??? hilo ni lako kaka ulilikoroga linywe....pia kumbuka kitu kimoja siku nyigine fikiria hoja hoja za kuleta hapa sio uzinzi wako.................

    ReplyDelete
  9. Mshahara wa dhambi ni mauti.

    ReplyDelete
  10. mi naona wewe kaka hujitambui, hebu fikiria na wewe una watoto halafu mtu amfanyie hivyo bintiyo utajisikiaje? usifikirie maisha mazuri uliyokuwanayo leo bali fikiria kesho itakuwaje.
    wanawake wenzangu tumpinge kwa nguvu zote huyu shetani mwenye mkia mrefu

    ReplyDelete
  11. mi naona wewe ndio utumiwe wahuni wakufanyie kazi maana umewadhalilisha wanawake na mkeo umetoa siri yake et alitoa mimba jamani kina mama tuwe na siri hata na waume zetu sasa tulifanya siri nyumbani yeye kaileta kwenyeblog kweli huyu ni mme au shetani.... mi naomba nikujue ningekutumia wahuni kabisa wakufanyie kazi uone raha yake mfuuuuuuuuuuuuu yaani nasikia hasira km nikung'ate sehem zako za siri mpaka zing'oke....

    ReplyDelete
  12. Ushenzi wako ufanye wewe, muda utupotezee sisi kukushauri vitu vya kijinga. Malipo ni hapahapa na soon utayapokea

    ReplyDelete
  13. Siamini kweli ka unaweza ukawa na ujasiri wa kuomba ushauri kwa jambo ka hili lkn zaidi nasikitikia mawazo yako potofu juu ya binti wa watu asiye na hatia... Apo muhimu ongea na mkeo; confess na uheshimu na ukubali maamuzi yake atakayechukua kwa usaliti wenu!

    ReplyDelete
  14. Yani wewe kaka mimi ningekufanyia mbaya ningekujua huna adabu hata uso wa haya huna ulipomuacha mkeo na kumdu housegirl ulitegemea nini? Tamaa zitakutokea puani malaya mkubwa wewe. Una bahati sikujui ningekukodia wahuni wakufanyizie wewe

    ReplyDelete
  15. wewe kaka acha ukatili mungu ampe akili huyo dada amwmbie ukweli mkeo ukome uharibifu na ullaniwe

    ReplyDelete

Top Post Ad