I Am In love With my Brother..Sina Raha Nikimuona na Mwanamke Mwingine..Natamani Anioe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kasome vizuri vitabu vya dini. Imekatazwa mtu kutembea na umbu wake

    ReplyDelete
  2. inamaana mpaka muda huu wewe hujapata mpenzi wako? Sio tabia nzuri tafuta wako najua utampenda vizuri tu kama unavyompenda kaka yako.

    ReplyDelete
  3. Pole sana mrembo piga numbari and hii kwaushauri zaidi kama uko now ya u s a anza na +1717-330-2349

    ReplyDelete
  4. Tell him and give him , be happy don't let people decide about your happiness, raga jipe mwenyewe mchuchu!

    ReplyDelete

Top Post Ad