Kuna Watu Wengi Hawatafurahi Wema na Kajala Wakipatana..Kazi yao Sasa ni Kuchochea Chuki ili Wafaidike

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naona haya mambo yanazidi bhana kwenye page yangu nafunga huu mjadala wa wema na kajala.... nambieni kati yetu nani msafi? Yaan yuko perfect hana hata doa? Kila mmoja wetu ana madhaifu yake. Kajala awe mnafki, muongo, attention seeker na yote kwani leo ndo mmeyaona haya yote? Hapana!! naye ni binadamu labda huo ndo udhaifu wake na sidhan kama sisi tunamjua vyema namna hiyo.... Kama anadanganya kivyake, mtu hawezi kuficha tabia litatokea jingine kwa mwingine huenda likawa kubwa zaidi siombei nachotaka kusema tuyaache yapite! Wanajuana, Kama bado anahisi Wema ana chuki naye amtafute wayamalize, khs kukiri kosa lake hadharani Labda atakiri kwa Wema mwenyewe maana Wema anasema walishamalizana lkn binafsi naona kama vile bado kuna kitu kilibaki hakikusawazishwa baina yao!

Hata mimi nahisi hawa wawili wakipatana kuna rundo la watu hawatafurahia kinachofanyika ni kuzidi kuchochea chuki ili wao wafaidike. Kwani wakiyamaliza na Kajala akawa na amani yake na kila mtu akawa kivyake shida iko wapi? Hii Ni kwa faida yao binafsi..... tusimnyooshee vidole na kumhesabia madhambi yake..ambayo ameonesha nia kutaka mabadiliko....mengineyo hayo ni yeye kama vile kila mmoja wetu naye ana ya kwake. Siko upande wa yeyote khs hili suala.....amani tu!!

By Mrekebisha Tabia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na huyo wema anaeishi kwa kutoa nyapu kwa waume za watu, amsamehe kajala kwa lipi?

    ReplyDelete
  2. Eti?Kwani huyo Wema kawa nani mpaka aombwe kumsamehe kajala?? Kama wizi wote wawili wamedinywa na CK ambae hajamuoa yoyote kati yao. Halafu huyo Wema kila akidinywa na mtu anajiita mchumba. Domo mchumba, CK mchumba, Kanumba (R.I.P) mchumba, Chaz baba mchumba, hata Idrisa Ommy na kina Kiba wote wachumba. Pumbaff zako wema. mfyuuuu. Ndio maana Zari kakukomesha kisawasawa. Kazi kujidai kiswahili kinakupa tabu wakati una matusi kuliko figa eit.

    ReplyDelete

Top Post Ad