Le Mutuz, Alberto Msando Sasa Damu Damu..Baada ya Bifu Kubwa Wakutana Laivu Uso Kwa Uso na Kuamua Hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wale mafahari wawili waliowahi kutengeneza uzi mrefu humu mwanzoni mwa miezi February, Mjasiriamali William Malechela Le Mutuz na Mwanasheria Alberto Msando, kufuatia promoshen iliyotamba ya kampuni ya Coka cola yenye jina "share a coke" ya kuandika majina katika makopo, hatimaye wamepatana.
Katika kurasa zao za insta wametupia picha wakiwa pamoja huku wamefunga mikono style anayoipenda sana mkuu Le Big Show AKA Akili kubwa, huku kila mmoja akitupia ujumbe kuonesha yameisha.
Ikumbukwe kuwa wakati wa tifu hilo hata wachangiaji wengi humu walijikuta wakiwa makundi tofauti kila mmoja akiwa upande wa aliyeona ana hoja ya msingi katika suala lile.
Binafsi mimi nimewapongeza sana hawa jamaa kwa kuonesha ukomavu wa busara na wito wangu wooote mliokwaruzana kipindi kile tafadhali rejeaneni.

Alberto Msando Ameandika hivi:

"In life there is only one thing that is permanent. Interests. Live at the Stars Meeting Millennium Tower. We met! We spoke!! We are so done!! We are brothers!"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad