Le Mutuz: Zari all white party imeingiza 1.8 Billion jamani kina dada zetu bongo amkeni usingizini jiulize Who is Zari?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LEMUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- The "Zari White Party" hesabu za haraka haraka matokeo ni 1.8 Billion ndio maana ya AKILI KUBWA mkiwa mmelala usingizi sana na Mungu anawapenda basi atawaletea AKILI KUBWA ya kuwamsha..jamani kina dada zetu bongo amkeni usingizini jiulize Who is Zari? Kama una AKILI KUBWA utagundua ni Super Star made by Social Media especially Instagram
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. waongo wanaongeza manamba ili watu wawaone wanazo, wanaficha ukweli wamegawa ticket bure. na wizi wa cm je.

    ReplyDelete
  2. halafu zari kumbe anamakengeza. ndo maana akuangalii sana usoni kutwa anainama, kuhusu ticket ni uongo usokuwa na tija wengi wameingi bure, hivi mtu ukisema ukweli itakuwa nn, mbona watu wanalalamika sana kwa hiyo part.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha ha unachekesha!!!

      Delete
  3. Amka na wewe lemutuzi sio wakina dada tu inakuhusu na wewe.

    ReplyDelete
  4. Lemutuz u r such a liar mfyuuuu

    ReplyDelete
  5. Huu ni uongo wamepata hela ila sio 1.8 bln walisema meza za 3ml zilkua 200 ila tale akasema zilkua 5 na za 1 ml zilkua km 10, lets talk th truth sio kuvumisha

    ReplyDelete
  6. 1.8 MY FOOT!! ACHENI UONGO MNAJIDANGANYA WENYEWE.
    KOZI MPATE MSIPATE SISI AITUHUSU

    ReplyDelete
  7. ha ha ha mtakalia hayo mwenzenu wanaigiza hela

    ReplyDelete
  8. Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake, duniani hata huko majuu hakuna mtu anayereveal mapato yake hadharani.

    HAYA WATU WA TRA TUNASUBIRI MTUAMBIE MMEENDA KUKUSANYA KODI YETU KIASI NGAPI KUTOKA HIYO 1.8 Billioni.

    Mie nitafuatilia mwanzo mpaka mwisho hiyo kodi ya mapato ya 1.8 ilipwe faster kabla pesa hazijasafirishwa kwenda Uganda. Wanatakiwa walipe % ngapi vile? 30 au 40% ya hiyo bilioni 1.8?

    Diamond mwaka huu usipoangalia sifa za kijinga zitakupeleka pabaya hata kukutia matatani, mara kuonyesha choo cha milioni 70, haya unatakiwa upeleke KODI YA JENGO/MAJENGO KULE MANISPAA YA KINONDONI HARAKA SANA. Kama nyumba yako choo tu ni 70m basi itakuwa ina thamani ya 1bilioni haya kata parcent yetu ya kodi peleka Manispaa wakutengenezee barabara.

    ReplyDelete
  9. Hebu tuwekee sie video ya Zari analikwepa taulo la Diamond, wewe si bingwa wa kuposti udaku na unadai uko neutral, weka hiyo clip sasa.

    ReplyDelete
  10. 1.8 bn kwa hesabu zipi? C kwamba haiwezekani la hasha,tunaomba utupe breakdown on how have u arrived to 1.8bn.le mutuz we ni mtu mzima sasa hivyo acha kupotosha umma.

    ReplyDelete
  11. Hiyo mishahara inaenda Uganda! Wabongo tumelala

    ReplyDelete
  12. Alikuja TZ kuchuma. Na bado ngoja mtoto azaliwe. Uliona wapi mtu nzima anaolewa/kuzaa na mtu ambaye hata hajawahi kukutana na watoto wako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yani wewe hapo umenifurahisha kwa swali hilo, yaniii mama anaejali watoto wake lazima kwanza amtambulishe hata km sio kumtambulisha ,basi watoto wake wamjue mwanaume anayetaka kuishi or kuolewa na mama yao, this is how it suppose to be. my children come first, men come and go, this woman look like doesn't even care, she is just after money, yani huyu anaweza kuwaacha watoto wake katika ndege akashuka na mwanaume mwenye pesa the next stop. I have a feelings si ajabu kuibeba hiyo mimba ya dai till now there is a possibility amehaidiwa big money ndio maana kakubali kuibeba lasivyo angesha ichomoa km za yule mganda mwenzio anayedai alitoa mimba zake more than two, na hata hiyo sex tape yake aliifanya only because alihaidiwa big money na ex wake. I just feel sorry kwa ndg wa dai yani mmeangaika na dai weeee anafanikiwa sasa then unaona jinamizi linachukua pesa za ndugu yenu hivihivi, so sad, past predict future, dai need to be careful really, she is not there because she love him, she is there because she know there is a money ambayo atamalizia yale majengo yake yaliyosimama. time will tell

      Delete
  13. Aaaah shauri lake huyo Diamond "Sikio la kufa", wanawake wote waliopo Bongo hakuwaona kaenda kuona hilo jinamizi gume gume lililowashinda wanaume wa Uganda. Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba, na kila mchuma janga hula na wakwao atajiju yeye na ndugu zake, walidhani wamepata kumbe wamepatikana. Shauri yake babu weee, wacha wamfilisi mpaka wamalize, kwanza ana uhakika gani kuwa hiyo mimba ni yake? Hata wanawake wa Bongo wenyewe kutwa kubambikia watoto waume zao itakuwa yeye. Asubiri afanye DNA test ndio alete mashauzi yake ama sivyo atafilisiwa na wanawake na wanaume wa kiganda.

    ReplyDelete
  14. Kiukweli huyo dai anamajanga kwani kama jokate, wema, na hao wote alio waduu ina mana hakuona wa kuoa hapo ndo amemuona huyo bibi kizee ambaye amezaa watoto watatu? au alikua nataka mbwamba kubwa hizo zote hajaziona zina umuimu? kweli mkataa pema pabaya panamuita. Akumbuke wakati anaigiza wimbo wa mbagalaaaaaaa angetakiwa arudi akaoe huko umaarufu utamuua. Kusema ukweli na huu uzee wangu nilio nao siwezi kumkubali huyo dai na hilo doma lake lamda ningefata pesa tu kama ambavyo wanafata pesa. Dai huyo anamatatizo ngoja tuone atakapoanza kulia lia hovyo na kuwatukana ma x wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad