Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata the TRUTH....tena the TRUTH ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo ya KMTA....soon nitakuwa na "LE TAMKOZZZ FOUR LIVE" and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS and EVIDENCE....na I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the good thing watayarishaji hawakuhusika kabisa so stay tuned! - le Mutuz

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mtu vipi???? Na yeye aanzishe Awards zake tuone ni nani atakayezipigia kura....LE MUTUZ AWARDS.

    ReplyDelete
  2. Si aache makelele zake mingi na atoe tu stori kamili kaa anajua kuna kitu mbaya ilkuwa behing tuzo za watu.

    ReplyDelete
  3. LE MUTUZ KELELE ZA FIRE KUJA BILA MAJI......HAHAHAHAAAAA. NA BADO TUTAWABULUZA SANAAA TU MWAKA HUU, NA WEWE KAPIME DNA UJUE JINSIA YAKO.

    ReplyDelete
  4. Hukupiga kura kisha unapiga kelele, nyie ndio wale wale mnaopigaga kelele baada ya uchaguzi huku hakujiandikisha wala kupiga kura

    ReplyDelete
  5. Haaaa kazi kwelikweli Kapime DNA ujue jinsia ya mtoto kama Diomond King wa wasafi anadai alipima DNA akaju jinsia ya mtotoooo,mburura weeee umevurugwaaaa

    ReplyDelete
  6. Tatizo anamshobokea sana domo

    ReplyDelete
  7. Huyu ni LE MUTUZ BELLE 5, Anatumbo linamzidi Bi Zari

    ReplyDelete
  8. Hivi hao wanawake wanaopiga picha na Le Mutuz kwani amekuwa Frog wao????????

    ReplyDelete
  9. Yeye huyo lemutuz ndio alikuwa anataka kupanga yeye mshindi ona ssss umehaibika,shame on you fool, na kingereza chake alichojifunzia china. We trust waandaji, tatizo lake alitaka kuiba kura as usual akaumbuka lol,take shower and go to bed

    ReplyDelete
  10. Lemtuz kama kweli uliwahi kuishi Europe hakika utakuwa unajua tuzo za voting hata nchi za ulaya inapokuja kwenye voting lazima watoe kutokana na hesabu ya wananchi waliovote na si vinginevyo nfiyo maana inaitwa KURA

    ReplyDelete

Top Post Ad