Lemutuz Awapa Makavu Laivu Wabongo wa Hapa na wale Waishio Nchi za Nje Wenye CHUKI, WIVU, FITINA, NA HUSDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ok I love talking reality kwa mfano niliamua kwenda Ulaya mwenyewe nikapigana mpaka nikaenda mipango yangu ya kwenda kwa kuogopa isiharibike nikaifanya kwa siri sana sikumuambia hata Baba yangu mzazi na siku moja nikaondoka na Sabena Airways enzi hizo mpaka Belgium ndio nikawashitua Washikaji kuwa nipo MBELEZZ hahahha....wiki iliyofuata nikaanza kusikia maneno ya kutisha na kunichafua from my very close friends wakasema na wakaapa sitaweza kuishi Majuu hahaha nikaishia kuishi miaka 30 na Degree 3 juu ya gademu kichwa changu walichokuwa wanakiponda sana....ok one day baada miaka 30 majuu nikaamua kurudi home sweet.home bongo kule majuu sikumuaga mtu walahi washikaji wangu kabisa wabongo kule majuu walipojua nimekirudisha wakaanza matusi mazito na mpaka my ex wife wakaapa kwamba siwezi kuishi bongo nitageuza tu majuu..hahahah guess what nipo hapa Mwaka wa.4 sasa na wanaisoma at Social Media kila.siku habari yangu hahahaj na thanks God nipo vizuri.....now seriously naomba kuuliza Wabongo tuna nini hasa kinachotusumbua mioyoni mwetu mpaka tunakuwa na CHUKI, WIVU, FITINA NA HUSDA hivi I mean hata walioko majuu ungetegemea wamebadilika.lakini wapi WHY TUKO HIVI na TULIFIKAJE HUKO KWENYE ROHO NYEUSI.HIVI? - le Mutuz

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe mwenyewe una chuki fitna, husda kwa walokuzidi. au hujioni? na hiyo digrii 3 isiwe chanzo cha kujifanya unajua kila kitu bichwa kubwa la bure. too much talk no action.

    ReplyDelete
  2. LE KUNUKAZ AKIONA HATAJWI ANAANZA NA DIGRII 3, HIVI ULISOMEA UONGO NA KUJIPENDEKEZA KWA WATU, HUNA JIPYA UNATABIA KAMA DEMU.

    ReplyDelete
  3. bora ukae kimya umeshapitwa na wakati, huna jipya kila mtu anakujua wewe ni LE MWENDAWAZIMU.

    ReplyDelete
  4. Watu na PHD na wanapiga kimya hatakama una degree 8 na centigrade who Cares una bebwa na baba yako bongo.

    ReplyDelete
  5. HILI NALO JINGA

    ReplyDelete
  6. Hizo degree za Westchester community college, hata jirani na chuo watu hawakijui

    ReplyDelete
  7. digree 3 na noah yake mjini...hahahaha

    ReplyDelete

Top Post Ad