Linah: Chozi Langu Hili Haliendi Bure!! U Will Pay it Back Maana Nimechoka na Masimango yenu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji wa ‘Ole Themba’ Linah Sanga amewafungukia followers wake wa Instagram baada ya kuchoshwa na masimango ambayo amedai yamemtoa machozi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye followers 254,256 Linah ameandika ujumbe huu mrefu:

“Jamanii nimechoka Na kufuru zenu, hivi naomba niulize ufupi wangu, kukomaa kwangu, mkorogo wangu vinawahusu nini? Ni naomba mfatilie kazi zangu tu vingi be ni vitu vya kawaida kila binadamu kuambiwa kasoro zake! Hvi wale ambao Hawana mikono Na miguu Na wao walie vipi kwa Mungu? Namshukuru hivi nilivyo. Mbona mnapenda kutoa hukumu kama nyie ndyo Israeli?! Ifike kipindi tukumbuke kila mtu anamaisha yake! Naona mnaandamana sana Na maisha yangu. Kuna ambae hata alimsaidia mama yangu wakati anapush hospitali? Hivi kumbukeni mnawazazi pia Na nyinyi mlizaliwa pia,kama nyie Mungu basi nibadilisheni mniumbe mtakavyo, nyie ni kina baba Na kina mama wa badae kumbukeni mtazaa Na nyinyi then tuone! Chozi langu hili haliendi bure!! U will pay it back maana nimechoka Na masimango yenu. “
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na kweli warahaniwe kwani kila mtu hajakamilika na pia wanapokuzodoa wewe na wao wajiangalie wapo salama kwa kila kitu?? fanya kazi dada yangu mengine ni maneno tu yasikunyime usingizi na waambie hutolia ten et

    ReplyDelete

Top Post Ad