Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.

Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA
Wale wa kuwaamini na wale wa kutowaamini....NAWAJUA
Wale mlio karibu yangu kwa sababu Fulani....NAWAJUA na msiniamini sana Hata mm nimewaruhusu kuwa Karibu yangu kwa sababu zangu flani
Kwa ufupi tu....JUA NAKUJUA
TafakariChukuaHatua
OkyBye"-Lulu on Instagram
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwenda huko na Nakujua yako. Maruhani yako yanakutuma vibaya wewe bibi Kanumba.

    ReplyDelete
  2. Go and Kiss your A** B***ch

    ReplyDelete
  3. Na wenyewe wanaakujua pia.Usisahau hilo na dunian hakuna rafik shoga eeh.Huyo unayemwamin ana wake pia anayemwamin nae anaenda kumsimulia.Hata mama zetu wana mashoga zao una mpa jambo ambalo moyo wake hawez kuhimili nae analipeleka kwa shoga!

    kwamba shoga eeh mwanangu a,b,c,d hebu nisaidie nimfanyaje mwanangu awe na aman!Shoga wa mama nae analipeleka kwingine.My point is ur secret isn't safe with anyone here on planet earth,once u choose to let the cat out of the bag,find a chair n put ur fingers crossed..then patiently wait for the bomb!Because there will be added words just to ruin ur reputation.Mimi sshv nimeamua kitu kikiniumiza kheri njifungie ndan nilie,ninyamaze siku ziende naongea yale ya kawaida saana.

    ReplyDelete
  4. muuajiiii hovyoooo

    ReplyDelete
  5. mimi binafsi napenda hawa watoto wafuatao hawana pozi kama lulu hawa kwa urembo wanakimbiza
    1.Vanessa Mawalla yupo facebook
    2Tasha Gal yupo facebook
    3Huslishaz yupo instagtam
    4Mtotobite95
    Hao ndo wazuri wengine sijaona bado mwaaaaaaa;) i wish wangejijua walivo cuties hawa wadada

    ReplyDelete

Top Post Ad