Mambo Matatu Ambayo Diamond na Zari wameyasema kwenye Exclusive interview ya Clouds TV ndio Haya ikiwemo na la kupima Ngoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1.Diamond anasema alikutana na Zari kwenye ndege wakati anatoka kushoot video ya Coco Baby aliyoshirikishwa na Waje

2.Diamondplatnumz anasema yeye na zarithebosslady wamepima na wapo safi!

3. Diamond anasema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu haujaisha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heheheeh kwan Zari uko desparate aje kwa ndege alikuwa hajui uaendap wakabebana direct till Tanzania Hilo nalo Jipya sema ulikutana nae b4 tutakuelewa Dogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. muulize baba yako hayo maswali sawa eeeeeh?

      Delete
  2. anajaribu kudanganya watz. Domo alisema atamuoa leo na kumvisha pete, sasa yamegeuka eti kabla mwaka haujaisha. hahaaaa, nawasiwasi anataka kumuona mtoto na apime DNA. kwanza

    ReplyDelete
  3. kwa nnavyomjua Dai mpenda sifa amvalishe bi kizee pete kimyakimya? siyo kweli anajaribu kupindisha haoi huyo anataka mtoto tu, kastuka kuwa baba wa watoto 4.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AIBU YAKO ANA UZEE GANI ZARI?????? WIVU TUU

      Delete
  4. halooooow, pete ilikuwa ya kimyakimya.. ndoa mwaka huu. mhhhh, naanza kuwa na hofu kama si wasiwasi kumbe ilikuwa ni kiki za kwa mtogole.

    ReplyDelete
  5. uongo ukizidi, mara ohh nitamuoa may 1. maranisha mvalisha pete, mbona ahadi nyiingi. au unasubirimtoto umuone kama anafanana na wewe.

    ReplyDelete
  6. Domo anangojea aone mtoto kwanza anajijua si wake, ndo maana anazuga kuhusu ndoa.

    ReplyDelete
  7. namuuliza Domo,simuulizi BABA yako alivyovuliwa chupi uchochoroni. mbwa wewe anony 2.16 PM

    ReplyDelete
  8. lov u zarina n i lov wema too... lol

    ReplyDelete
  9. Sina uhakika kwa kusema UKIMWI wapo safi.Mtindo wa kuchukuzana hata kwenye ndege.Pia hesabu wanawake ambao waliushatembea na domo, kisha hesabu kila mwanamke alishakuwa na mahusiano na watu wangapi, jumlisha na wanaume amboa Zari alishakuwa na mahusiano nao kabla ya zari, Rejea idadi ambayo Waganda na ishi na Virusi vya UKIMWI, na pia rejea idadi ya Watanzania wanaoishi na Virusi vya UKIMWI.Waliotoa kauli isemayo, tupo wangapi? Sio wajinga?Akili mu kichwa!Watu wanaokutwa na UKIMWI, hawasemagi hata uwashikie mtutu wa Bunduki.La sivyo, tungekuwa na vibosile na mastaa wengi walisema kuwa wamekutwa na UKIMWI.Tunawangojaga tu wanapodondoka kwa kifo, Mta ji JJ,endeleeni tu kudanganya.Well and Good, PMTCT it works!1

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aisee wewe kichwa mie nishawahi kusema,Ningekuwa maarufu mwanaume kama Diamond simtaki.Mungu anisamehe kwani naweza ninakawa nakosea kutamka hivi,ila na wasiwasi na afya yake.Duh bora mtu usijue tabia zake ila si mtu tabia zinaonekana kabisa kama za Nasibu

      Delete

Top Post Ad