Maoni:Unamshauri Nini Aunt Ezekiel Kuhusu Ugomvi na Wema?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu ulikomaa zaidi pale Madame Wema alipokuwa amerudiana na Diamond Platinumz kiasi kwamba hata safari za nje za Wema na Diamond na Aunt nae alikuwa anasafiri na hatukujua alikuwa anasafiri kwa gharama ya nani.

Kwa ukaribu huu wa Wema na Diamond kulimfanya Dogo wetu Moses Iyobo kupata bahati ya mtende kilaini kwa dada yetu Aunt Ezekiel ambaye walianza mapenzi chini chini na kuficha kila walipoulizwa kama wana uhusiano ila alikataa, ila mwisho ya yote yalikuja julikana baada ya Aunt Ezekiel kupata ujauzito.

Sasa ikawa hawana jinsi lazima waweke wazi. Hatujui kama Madame Wema au Diamond alitumika kupiga pande kwa hawa wapenzi wawili ama la ila chanzo ni yeye kuwa na ukaribu na Diamond na Aunt Ezekiel ndo kukampa mwanya Moses Iyobo nae kuwa na uhusiano na Aunt Ezekiel.

Sasa leo kuna kamtihani kamemkuta Aunt Ezekiel kwa kuwa Madame Wema ameachana na Diamond Platinumz, na kuachana kwao kumetengeneza mgongano mpaka kupelekea kuwa na Team Diamond& Zari na Team Wema. Kwa kuangalia kwa umakini zaidi Aunt Ezekiel anakaribia kupata mtoto na Moses Iyobo na Upande mwingine bado yuko na Uswahiba na Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel anapata mtihani kwa kulazimishwa na Wema kuwa bado awe kwenye Team Wema wakati yeye tayari ana usiano na Moses Iyobo ambaye ni Dancer wa Diamond na ukiangalia kwa umakini kila itakavyokuwa lazima Moses ndo anauhusika na kila kitu kwa huduma za Aunt Ezekiel.

Sasa ukiangalia kwa mbali kuna ugomvi wa chini chini kati ya Wema na Aunt Ezekiel ikisemekana kama Wema hataki Aunt Ezekiel amsapoti Diamond ila naamini Aunt Ezekiel anafanya ivi kwa mapenzi ya mpenzi wake Moses Iyobo.

Ukiwa kama wewe mdau unaweza mshauri nini Aunt Ezekiel;

1- Aaache kumsaport Diamond kwa kulinda urafiki wake na Wema?

2- Aache kumsaport Wema ali ajenge uhusiano zaidi na Moses Iyobo na kwa faida ya mtoto wao?

3- Au afanya uamuzi gani kwa hawa wahasimu wawili ili aweke mambo sawa kwa pande zote mbili.

Tumshauri dada yetu please bila matusi.

By Abatmwe on JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Simpo sanaaa. Yani inabidi Aunt aweke wazi support yake kwa iyobo, chakufanya ni kwamba asimshitukize wema kwa promo anazo fanya, amwambie tu nbwana shost au bwana best leo nafanya promo ya diamond kulinda kazi ya mzazi mwenzangu, sio kwenye kinyumenyume na kujifanya eti Vodacom wanamsumbua au nini, weka wazi kwa rafiki yako kwamba leo nafanya promo ya ofisi ya mchumba wangu. Wema kama ni rafiki wa kweli lazima ataelewa hiyo. Nukta

    ReplyDelete
  2. SHULE Ndugu yangu, hiyo yooootee Shule. Ninachoweza kumshauri Ndugu yangu Aunt Ezekiel ni kuwa aende Shule ili aweze kuja kuwa mwanamke anayejitegemea. Bila Shule atahangaika sana. Pengine angekuwa ameenda Shule, leo hii tusingemuona ana date huyo sijui Iyobo wala kuwa na urafiki na huyo Kicheche Wema. Jamani Shule ni muhimu Ndugu zangu, Shule ni kitu cha maana sana Dha!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watu wamekwenda shule na degree 3 ila bado hawana ufahau, yani kama wapo nusu kaputi vile.... Joketi vs alikiba ni mfano wa nusu kaputi, by the time Joketi anaamka atakuwa amesha fanyiwa operation za kutosha tu

      Delete
  3. Na mbona Wema kwa Sudi ajibu tofauti na mnavyoandika? Aki nnyi nwagonganishi kweli.

    ReplyDelete
  4. Huyu Wema atakua Ana tatizo. Haiwezekani kila rafiki awe mbaya kwake. Wema atakua Ni mkorofi Sana. Kwa mtu asiyependa kuburuzwa hawezi kuwa rafiki WA wema. Unless uwe mtu WA hewala mkuu. Alianza snura, akawa mbaya, kajala WA watu nae akawa mbaya na aunt nae. Saa bidada utakua na kasoro hasa kwenye vijitabia vyako. Inaonekana huwa anapenda awacontrol mashost zake kama vijakazi wake. Aunt mwaya achana nae huyo mjinga fanya yako. Mpe full support Baba kijacho Wako for the sake of your relationship. Achana na mambo ya ushoga kidawa WA kipuuzi huo. Tengeneza future yako, ye wema kama Ana ugomvi na zari au diamond hayo Ni Yao wAo wasikuinclude. Tena hata kwenye show ulipaswa uende kumpa support mzee kama sio mimba. Wema kwani ye kawa nani bwana, kila kitu wema wema wema kitu gani bwana. Fanya mambo yako yakae sawa ukiharibu kwa huyo Moses watakucheka aunt.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda kalale, ukishaamka uje utuambia umemuota wema mara ngapi. sababu mwenye utimamu huwezi kuuliza hilo swali.... Eti Wema nani????????Khaaaa......Kalale pliz, kalaleeeee utimize ndoto yako.

      Delete
  5. Next ugomvi ni wema na petit tusubiri ila kwa sababu domo hampendi petit Nazani itasadia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Next ni Romjons na domo, coz petit na romy wanaubest wakufakufaana, na ushemeji juuuuuu. sasa kama doma hapendi, alambe sumu ya panya......hahahhaaaa asiogope haiwezi kumuua sababu yeye sio panya ama nini......ila ikimuua basi yeye Panyaaaa.

      Delete
  6. SASA KUACHANA KWA DAI NA WEMA INAMUHUSU NN ANTII?? WW MWENYEWE USHASEMA KUWA MOSES NDO KILA KITU KWA ANTI SASA USHAURI WANN NA ILIHALI JIBU UNALO MWENYEWE KTK MAANDISHI YAKO

    ReplyDelete
  7. Agangamale na point nr.2 'coz friends come'n'go b't a child/children are yours 4rever

    ReplyDelete
  8. kikubwa waheshimiane na waekeane mipaka ya urafiki na kazi

    ReplyDelete
  9. Nonsense, kila mtu ana nafas yake kwa aunty anaweza kua na wote cha muhim asiwe anahamisha story za upande m1 kwenda upande mwngn mbona petit tena yupo na dada kabsa na ndoa juu lakn kila cku yupo na wema coz he knws how to play th cards

    ReplyDelete
  10. Hakuna ushauri wowote Aunt Ezekiel anaouhitaji zaidi ya kushauriwa aende Shule na kuachana na hiyo takataka Kicheche Wema. Vinginevyo ataendelea kunyanyasika, kudharauliwa na kuburuzwa kwa namna ambavyo huyo Kicheche Wema anavyotaka. Na si hivyo tu, maisha kwa ujumla yataendelea kumkomesha.

    ReplyDelete
  11. Ww unayesema yupo na Wema petit kila siku na huku kaoa, Huyo petit ni mkaka tu wamjini Ni mpaka Sahvi Sijui shughuli yake anayofanya mjini. SAsa huyo aunt nayeye afanye kama petit ili iweje. Excuse who is Wema bu the way yeye Kwani Ni Mungu mpaka watu wamsujudie hivyo? Anamambo yakitoto she need to grow up.haumpi aunt hela yakula sasa y ukonctrol Maisha yake r u msagaji Wema? Au Wewe msagaji mana ndo tabia zao. Ukiwa na Mtu hutaki aongee na mwingine Yani ni unatabia mbayaaaa wewe dada I wish nikuonea nikwambie face to face. Halafu mambo eti unapeleka kwa familia yako sasa hiyo familia yako inamlisha aunt? Mmejuana kimjini mjini na mtaaachana kimjini mjini ukitaka kuwa na marafiki wengi Acha kucontrol wenzio wewe Sio gold ujue fala weeeeh. Yani unaniboa

    ReplyDelete
  12. la to be honest mi sijaona makosa ya Aunty adui wa Wema hawezi kuwa adui wa Aunty .But labda nimshauri dada Wema hiyo siyo stail nzuri katika maisha kila mwanadamu unayemsogelea ana mapungufu na madhaifu yake mwombe Mungu akupe uwezo wa kuishi na kuchukuliana na kila mtu na Kwa issue ya kuachana na mtu na kumuwekea bifu sioni kama ni sahihi let me give you short example of my X mimi na X wangu na demu wake tumefungua kampuni na imefanikiwa sana na tuna amani sana na mimi sasa hivi nina Boyfriend mpya naye amejoin kampuni yetu ukituona tunaishi kama ndugu wa damu.Wema nakupendaga sana elewa mapenzi hufaga kabisa na ukapata mpya na akakupa furaha na mapenzi hayalazimishi mkichokana mama bora tu ule kona kivyako naye umeshaona kala kona kivyake na ana amani .Usimpe shetani nafasi ya kujibebea dhambi ya kuchukia kila mtu Zari ye kafatwa hakufata so sioni kama kumchukia mrembo yule ni sawa .Msahau kaka Donge Muombee afanikiwe wapende watakie mema then Mungu pia atakufungulia milango yako nawe ukapata mahabuba wa kuziba pengo.Don't Panic Miss utavuruga maisha yako mashabiki watakufanya uishi maisha mengine ya ajabu couse kila siku wana kuumiza please achana na hayo mambo tengeneza Movies tunamis Videos zako sokoni kuwa bize utamsahau Dai Mumy.

    ReplyDelete
  13. BABA MTOTO KWANZA. WEMA LAZIMA AELEWE KUWA ANACHOFANYA AUNT NI KUMSAPORT BABA MTOTO KITU AMBACHO HATA ANGEKUWA WEWE UNGEFANYA. WEMA HUWEZI KUWA JUU YA IYOBO . AUNT MSAPORT MZEE AU BABA KIJACHO.

    ReplyDelete
  14. wamalize tofauti zao kwani hata vyungu vikikaa pamoja hugongana,napenda urafik wao naomba mungu awasaidie wakumbuke walikotoka na wasahau hicho kilichowagombanisha na waanze upya.nawapenda sana

    ReplyDelete
  15. Jamani kwani Aunt siyo kwamba ana ndoa yake !!! Mbona slibadiri na dini akawa muislam nijuzeni mme aliyefunga naye ndoa yuko wapi mhh DUBAI
    Kitu kingine naomba nijue mbons Esma hamuspoti mme wake Petit badala yake anamsapoti Diamond ina maana Esma kula kwake kunatoka kwa chibu???Aunt amejisahau tu au kawa mjinga aende shule

    ReplyDelete
  16. Mjinga wewe kwani huyo esma amsapoti mume wake kwa kazi ipi haswa mjini aliyoko naye petit? Kwani we hujui kama domo ndo aliyempa maisha kwanza dada yake. Hata hapo anapoishi analipa domo. Na huyo aunti anahaki yakumsapoti mume wake mana ndo anayempa kula amsapoti Wema kwani yeye mumewe? Au huyo wema ikifika sehemu uakusapotiwa na yeye atasapotiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad