Mashabiki wahisi Ivan bado yupo moyoni mwa Zari baada ya mama kijacho huyo kupost ujumbe huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari the Bosslady anatarajiwa kuwa mama wa mtoto wa Diamond Platnumz miezi michache ijayo lakini bado anahisi mume wake wa zamani, Ivan ni baba mzuri na anajivunia kwa vile anavyowalea watoto wao watatu waliowapata.

Mrembo huyo wa Uganda alipost picha ya Chris Brown akiwa na mwanae Royalty kwenye tuzo za Billboard wiki iliyopita pamoja na picha ya Ivan akiwa na watoto wao watatu na kuandika: Tag all men who are proud dads.”

Pamoja na mashabiki wengi kumsifia kwa ukomavu wake hasa katika namna anavyomzungumzia ex wake, wapo waliohisi kuwa amekosea kuandika hivyo na kwamba huenda bado anampenda.

“Hahahahahaha….zari yo mazing of all dads u include yo Ex,” aliandika Mackenzie Safari Shamirah aliyejibiwa na Zari, “and since when did our differences strip him of his fatherhood?”

Rakeem Jonez aliandika: This ain’t cool at all…if u want dat old thing back..then leave our diamond alone..it won’t surprise us coz u’ve always been dat hoe..he can be with anywoman that he wants to be with..he’s only with u bcoz of dat baby and he’s not acting crayz bcoz of u..it’s bcoz of that unborn baby..only her.”

Huss Deezy aliandika: Zari, you would lie to every body that you are happy with diamond but the fact remains that the kids u have with Ivan are ur soul and source of joy until u die. U could run from them but u won’t hide the fact is Ivan is the true man for you and u will sit one day and say I told u the truth. The happiness you think u are in ryt now with diamond is your few years to come painful tears of pain. I will be there to remind you dear.”

Zari alijibu: Run from them???? Hahahhold on I ran from my kids? Really since when? last I checked I woke up with them today b4 school I wake up with em every other day when when am SA…..did I miss something or does someone live in my house to know me more than I do myself….. people move on am not the 1st one. And as for my kids they are always priority to me and they live with me.”

Naye Moses Mulwana alichombeza: it’s so hurting to see ur wife going out with someone else but all my thanks goes to Ivan, for sure u are indeed a great man who have handled things in a professional way.

Zarinah Tlale alimjibu Moses: It hurts even more seeing men treat women like shit and expect them to sit around coz they have kids like their world ended. Gone r days hun, gon are the days.”

Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haaahaa welcome to TZ haaaha

    ReplyDelete
  2. ufundia au pesa haaha

    ReplyDelete
  3. she have to go back to her ex. haaha maana kwa Dai ni ufundi hakuna peas lol

    ReplyDelete
  4. she have to go back to her ex. haaha maana kwa Dai ni ufundi hakuna peas lol

    ReplyDelete
  5. hakuna maroise roise hapo, haaha wewe ulifikiria WEMA majina kuhepa lol

    ReplyDelete
  6. hakuna maroise roise hapo, haaha wewe ulifikiria WEMA majina kuhepa lol

    ReplyDelete
  7. Nyiye ni mapumvavu hamjasoma kwani watu waki achana hawazungumzi rena kazima zari atazungumza kwasababu ya watoto lazima atamsifu ivan kwavile anakavyo tizama watoto wake na kila mmoja aliye achwa na anawatoto anakusa anatamani ilo kwahiyo nyiye mnatafsiri vingine inamana nyiye mkiachana basi watoto wanakuwa kwa mama baba hana haki naeo tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dogo usichanganye issue, hapa hakuna anayekatazwa kulea mtoto point hapa ni kumsifia X wako in public wakati uko na mtu mwingine ndani. Jamani jamani tena kwa mwanaume inaumiza imagine wewe ni mwanaume umeoa mwanamke ambaye aliwahi kuolewa na kuachika then wewe ukamuoa halafu from no where huyo mkeo anamsifia X wake live hivi utajisikiaje???? inaumiza. Ivan kulea watoto ni wajibu wake maana ni wanae na Zari kulea watoto ni wajibu wake ila kusifiana Proud dady sijui proud mom neh neh neh neh.

      Delete
    2. true that...

      Delete
  8. MIKUNDU YENU WOTE

    ReplyDelete
  9. I love zarinah!
    she is the real boss lady!
    huyo ivan inaonekana amemtesa muda mrefu labda kwa kujiona ni tajiri lakini the strong Zari decided to leave him. Oh I love Zari!
    I wish to be a strong and matured woman like her!
    Zari pokea mabusu mia mia toka kwangu, mwaaaaaah!

    I wanana be strong like zari!

    ReplyDelete
  10. we talking about maintaing the status nigga, she can not have what she used to have. The boy is working hard but hela yake ni yakufanyia maendela not for pussizzzzzzzzz. You will eat, traveling together, and ufundi wa kitandani mashalaa. Big gansta magari nini she kind miss that lol.

    ReplyDelete
  11. HAJAKOSEA KABISA NYIE WAAFRIKA NDIO MLIVYO WATU WAKIACHANA ETI HATA SALAMU HAKUNA LAKINI KUMBUKA WALE NI WAZAZI MUUNGANO WAO UPO KAMWE HAUWEZI KUKATIKA. SO KUMPA BIG UP EX WAKO NI JAMBO LA HERI KABISA HALIMAANISHI KUWA UNA MAPENZI NAYE. UNAKUWA UNAMPENDA TU KAMA BABA AU MAMA WATOTO WAKO AU MZAZI MWENZIO NA SIO ZAIDI YA HAPO!!! NYIE MLITAKAJE? AMTUKANI MZAZI MWENZIE????????ALAAA!!!! NI BABA WA WATOTO WAKE HAWEZI KUFUTIKA

    ReplyDelete

Top Post Ad