Mchumba wa Shilole Nuhu Mziwanda Atoa Kali Nyingine ya Mwaka...Hii Sasa Kutafuta Kick

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imenibidi kushare nanyi labda mtaelewa post ilivyoandikwa sijui ni kiingereza au kifilipino
tueleweshane wapendwa

Nuhu Ameandika Hivi kwenye caption ya hiyo picha hapo Juu : She is my angel to me and inside my heart is draw she is name by natural ink from the God , love of me mziwanda to she is so not aproched with others girls 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anatafuta kiki,He knows English.Mkitaka kuamin ameandika maneno yote bila kukosea kasoro neno approach ambalo hakuweka double p na herufi a.The words are all correct. ni grammatical errors tu ambazo naamini anaziweka makusudi,ili awe vinywani mwa watu.kwa ssb angekuwa hajui kwel kiingereza asingeweza andika hayo maneno

    ReplyDelete
  2. KWANI NA WAO MPAKA WAONGEE ENGLISH NI AIBU HII. WENGINE HAWAONGEI MPAKA WALEWE POMBE

    ReplyDelete
  3. wanapendwa watu wawazungumzie kama Domo na Wema. hawana kiki mjini.

    ReplyDelete
  4. Hajui kizungu cha kuongea wala kuandika,,kaandikiwa

    ReplyDelete
  5. NI THEEEEDAH

    ReplyDelete

Top Post Ad