Mgomo Wa Madereva: Mbowe Apokelewa Kwa Shangwe Na Madereva Waliogoma Ubungo, Aokoa Jahazi na Mgomo Kwisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgomo umesitushwa. Mbowe kaokoa jahazi. Kikao cha kwanza kilikuwa cha DC Makonda. Fujo zikazuka hadi polisi wakaingilia kwa kufyatua silaha zao. Baadaye akaingia Mbowe na watu wakamsikiliza. Kilichoishinda Serikali kwa siku mbili kimemalizwa na mtu mmoja kwa dakika 7. Mtu ambaye hana hata polisi, achilia mbali jeshi
Mbowe kawaambia sentensi moja tu... "Serikali iliyopo haina uwezo wa kutatua matatizo sio ya nyie tu madereva, bali na makundi mengine ya kijamii ikiwemo wakulima, wafugaji, walimu, madaktari, wauguzi, askari nk... hivyo njia pekee ni nyie kuendelea na kazi na kuvumilia miezi michache iliyobaki kisha itaingia serikali makini itatue matatizo yenu".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. VIVA CHADEMA/UKAWA, VIVA MH. FREEMAN MBOWE!!! Nyie ndiye wakombozi wa watanzania mliobaki, Mungu awabariki sana, AAAAmeen.

    ReplyDelete
  2. siasa uchwaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................wale Malaya wanaojiuza mle club bilz nao awape mikataba mana wapo kila cku kibaruani c kushabikia ya madereva na wamiliki wa mabasi. pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad