Millen Magese Kuwa Mtanzania wa Kwanza Kupata Tuzo ya BET, Ugonjwa Wake Wamfanya Ajulikane Dunia Nzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WaTanzania wenzangu nomba kuchukua nafasi hii kumpongeza dada yetu @ladivamillen ambaye amechanguliwa kwenda kuchukua BET Global Good Award kwenye tuzo za Mwaka huu za BET Awards Marekani. Ni category mpya ambayo haina mipaka na haina nominees kachaguliwa yeye kuwa anastahili kukabidhiwa tuzo hiyo. Lakini pia ni tuzo ya kwanza ya BET kwa Mtanzania. Ni jambo la kujivunia. Mimi nimefurahi mnooooo alivyoanza kuzungumzia ugonjwa wake kama elimu kwa wengine watu walimbeza, wako walitaka kumkatisha tamaa ila sasa ona Mungu kamwinua katambuliwa kimataifa kwa kazi zake na dunia nzima tutam-salute pia. It's always about you and your God first. God bless you my sister @ladivamillen kwanza mzuri, una moyo mzuri, moyo wa dhahabu huna shida na mtu. You are a true Tanzanian Icon. More power to you. Mungu azidi kukuinua. Nakupenda. Naomba tumpogeze dada @ladivamillen kwa heshima hii kubwa aliyopewa. Usengwile wanachama. ❤️❤️❤️ #MwanamkeWaNguvu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi inabidi utueleweshe dada anasumbuliwa naugonjwa gani?au hukusomea kazi yako?km ulichomekwa na ndugu au rafiki basi rudi shule.

    ReplyDelete
  2. Alikuwa na ugonjwa gani?

    ReplyDelete
  3. Hongera Millen

    ReplyDelete
  4. HAAAA KILA LA KHERI DADA MILLEN NA BADO MUNGU ATAENDELEA KUKUSIMAMIA SANA.

    ReplyDelete
  5. Matatizo katika kizazi, alikuwa anasumbuliwa sana na hedhi kama yeye ni mwanamke akaelezea matatizo yake kiasi kwamba, mpka wakamtoa kizazi kwa njia ya operation sababu ya matatizo, muwe mnasoma na habari zilizopita, mwandishi awezi rudia nyuma et kwa kuwa hukusoma habari za nyuma

    ReplyDelete

Top Post Ad