Mrembo Jokate Amlipua Diamond, Ni Baada ya Kuitwa 'Makombo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Musa mateja
Jino kwa jino! Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba.

Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Jokate alisema alishangazwa na maneno hayo ambayo hakustahili kuyatamka kwani kama ni ishu ya mtu kula makombo mbona hata yeye ni makombo na bado anakula makombo?

Sijapendezwa na kauli ya Diamond na namshangaa sana, sijajua nini kimemkuta maana mimi sijamtaka wala hakuna ambapo niliwahi kumwambia kuwa ninatoka  au ninamtaka Kiba, zaidi ya maneno ya watu kwenye mitandao ya kijamii.

“Hata kama hilo lipo, bado sioni maana ya neno makombo kwani hata yeye ni makombo na anakula makombo kwa Zari (Zarinah Hassan) kwani nani asiyejua?” alihoji Jokate akionekana kuchukizwa na kauli hiyo ya Diamond na kuongeza:

Yawezekana labda maana ya neno hilo hatulijui ndiyo maana tunalisema bila kuliangalia kwa umbali zaidi, hivyo ninachoweza kukisema ni kwamba mimi sijawahi kumtaka wala kumhitaji hivyo sioni kabisa sababu ya msingi ya kusema hivyo labda kama alikuwa na maana nyingine tofauti na hiyo.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Well spoken.. Diamond hizo ni tabia za kike. Maana uswahili umepitiliza

    ReplyDelete
  2. ACHANA NA HIL MBULURAZ LOW LEVEL KICHWANI.

    ReplyDelete
  3. Anajishaua tu huyo Diamondi yeye mwenyewe makombo msemo wake Jokate.Na mwanamke wake am sure ni makombo kupitiliza akwendreee huko.Angemkuta Zari bikira ndo angetakiwa awe na guts za kuita wenzie makombo.Msonyooo wee Nasibu.Mwanamm mswahili utafikiri ulichezwa mdundiko wakati wa kubalehe.

    ReplyDelete
  4. Domo hajiamini ndo maana anapenda kuwasema maa x wake. sasa jojo na zari nani makombo

    ReplyDelete
  5. YAANI TENA ZARI NDIYE MAKOMBO MATAPISHI. MWANAMKE KALALWA NA KATUNZI ASUBUHI, USIKU UNACHOVYA WEWEE TENA BILA CONDOM!!
    NILISEMA ZAMANI MBOOO YA DIAMONDO HAINA THAMANI ABADAN!!!!!!

    MAKOMBO TENA UKOKO.

    ReplyDelete
  6. mtamaliza yote mwenzenu ndiohuyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad