Mtangazaji Fredwaa Anapotea Ajitatmini Upya Pale Clouds, Pesa si Kila Kitu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.

Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.

Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.

By Matola-JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa

    ReplyDelete
  2. Jamani Claud mtafutie naye kipindi chake akiendeshe msije mkaua kipaji chake kama mlivyo kishusha na kukiua kabisa kipaji cha Regina Mwalekwa

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa mie pia nimeshangaa sana

    ReplyDelete
  4. Jamani kweli watu mnaona kwa jicho la pekeee brother kaka fredwaa ameshuka sana tena mbaya zaidi anapokua katika kipindi babra na wenzake huwa hawampi ushirikiano sijui ndo kumhofia kwenyewe ajitazame kweli claud ni redio kubwa lakini haimaanishi kila mtangazaji atafanikiwa kupitia claud

    ReplyDelete

Top Post Ad