Mwandamindo wa Marekeani Roper Ajisalimisha kwa Diamond, Afuta Post ya Kwanza Aliyopost Kuponda na Kupost hii Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waliomchoma chibu ndo wamezidi kumpaisha....
Kijana ni Icon wa ukweli Tanzania...Baada ya wabongo kumkomalia vilivyo mbunifu wa marekani aliyemtuhumu chibu kumuibia kazi zake, sasa ameamua kuifuta ile post yake na kutupia nyingine

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni hivi huyo mwanamitindo ana akili sana ametumia fursa ameona ya nini mavutano wakati anaweza kutumia nafasi hiyo kupata promo ya bure! Wambele wambele tu>> Sasa kaka yetu hapo kwakuwa huwa hafikirii mbali ataona mwanamitindo kamuogopa kumbe mwenzake ametumia fursa to his best advantage

    ReplyDelete
  2. Aibu, mkaonaga aibu kwa kweli, kajisalimisha nini wakati mmeenda kujazana kwenye page ya watu na kuanza kusutana na kutukanana kiswahili. Kaamua tu isiwe tabu kaitoa post. Acheni kujidhalilisha wabongo kwa kushobokea makosa. Huyo stylist wa D kakosea kuiba kazi za watu, na kama angekuwa hajakosea hata huyo D mwenyewe asingebadilisha post yake from kumuita designer to stylist. Na baada ya kubadilisha ndio jamaa na yeye katoa. Lakini ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama D kusema uwongo kila mara.

    ReplyDelete

Top Post Ad