Mwigizaji Lulu Michael Aanika Siri ya Kutoka Kimapenzi na Walio Mzidi Umri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’      na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.

Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.

Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema Lulu.

GPL

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapendi masharobaro kwa kuwa hawajui kuhonga.. na mzee kufa ni rahisi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lulu yuko sahihi, hakulelewa na baba na hana kaka. Hajawahi kupata mtu anayeweza kuziba mapengo hayo zaidi ya hao wanaotaka mapenzi kwake. Tatizo ni kwamba anakutana na watu wasio sahihi kwake. Ni ngumu kumuelewa lakini kila mmoja wetu anaingia kwenye mahusiano kwa sababu zake, haijalishi kama ni sababu sahihi au si sahihi!

      Delete

Top Post Ad