Mwigizaji LULU Michael Apingana na Wema Sepetu Kwa Hili Jambo.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sheria iliyopitishwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA "Cybercrime au Cyberbulling" Kuwa ukitukana mtandaoni na Comment ikawa inaonekana aliyeandika utalipa faini ya Shiling laki 7.5 kwa kila siku  imemfanya Lulu Michael Arudi Mtandaoni Baaada ya Kujitoa kutokana na Matusi ya Watu waliokuwa wakimshambulia ...

Lulu Amesema "Binafsi nadhani Sheria hii Itasaidia Kidogo Watanzania kupunguza matumizi Mabovu ya Mitandao ya Kijamii , Fikiria wazazi wetu wangetulia kwa kutukana kama ilivyo sasa tungekuwa wapi sasa hivi? "

Huku Lulu Akishangalia Sheria Hiyo Mrembo Wema Sepetu Amepinga Vikali Sheria hiyo kwa kusema inanyima uhuru kwa Mashabiki wake kumrekebisha , Wema Amesema yeye yuko radhi kutukanwa kwani ndio kunamrekebisha ......"Je mimi nitawezaje kujua makosa yangu ili niweze kubadilika na kufanya vizuri kama sintasikiliza maoni ya watu yawe mabaya au Mazuri" Ali hoji Wema Sepetu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. she does not understand anything about the law iloletwa lemme upgrade her

    ReplyDelete
  2. hajielewi huyo anaifurahia ili mazambi yake yasifichuliwe tena. Namchukia sana kwa kuharibu ndoa za watu na kuwafanya watoto wa watu kukosa malezi na upendo wa baba zao

    ReplyDelete

Top Post Ad