Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi – Kajala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na Wema Sepetu baada ya kugombana.

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.

“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye alinisaidia,” alisema Kajala.

Pia Kajala amekanusha kutembea na mpenzi wa zamani wa rafiki yake huyo hali iliyozua ugomvi baina yao na kusababisha mpaka sasa kutoelewana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nenda tena ksa wema utauwawa yule ni msinginda ana roho mbaya kwanza mama yake hakuraki umepigwa chupa na mtuu usiye mjuwa utakuja tiliwa sumu hujijuwi uyo anajeshi lake petit watakuchangiya wakupige vizuri mana wawo hata serikali haithubutu kufika mlangoni kwa wema kwahiyo fikiriya mwanao PAULA anakuhitajiya bado kwani siku zote ulikuwa mbali naye huku ishi ao umekumbuka ku sagwa pumbavu weye ninekudharau kwanza nilikuhisi strong kumbe hujiwezi

    ReplyDelete
  2. wewe anony ni hater wa Wema tu mxxxxxxxxxxxxxxxxx

    ReplyDelete
  3. HUYU MWENZIE ANATAKA KUREKESHE YEYE ANATAKA KUHARIBI. JAMANI TUSAMEHEANE ILI BABA WA MBINGUNI ATUSAMEHE NA SISI. KAJALA BIG UP KWA KULIONA HILO. WEMA ONYESHA WEMA WAKO YAISHE HAYA.

    ReplyDelete
  4. Bora akuchukie hivyohivyo
    ili msiwe marafiki tena.Hamfanani tabia kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad