Nay wa Mitego "Siwema Hajawahi Kuja Kumuona Mtoto Wala Hata Kupiga Simu Kuulizia Hali ya Mtoto Tangu Nilipomchukua"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego amesema kuwa mzazi mwenziye, Siwema hajawahi kumuona mtoto wao aitwaye Curtis wala kupiga simu kuulizia hali ya mtoto tangu alipomchukua kutoka kwake jijini Mwanza zaidi ya miezi miwili iliyopita.

Nay aliyazungumza hayo kwenye mahojiano maalum na Clouds FM kuhusu malezi ya upande mmoja anayolelewa mtoto wake Curtis mwenye umri wa miezi sita. ‘’Mtoto wangu anaendelea vizuri hana tatizo,na mama yake wala ndugu zake hawajawahi kumuona mtoto wala kupiga simu kuuulizia hali ya mtoto anaendeleaje,’ alisema Nay. ‘Na pia hali hiyo wala hainiumizi hata asipomuona miaka yote mimi sijali ninachoangalia mtoto wangu ana afya njema na anakua vizuri,’ aliongeza Nay.

Nay wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake jijini Mwanza baada ya kutokea ugomvi kati yao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyoko kumbe ulikuwa unatishia kujamba wakati unaharisha.. Siumemtaka mtoto ndo uleee kujitia mwanaume lol.. Lea nawewe huone uchungu wamtoto

    ReplyDelete
  2. Mwenzio kaona uchungu leba naww Ona kwneye malezi

    ReplyDelete
  3. Ila Ney wewe katil how can u take motto akiwa na umri chin ya miez 6? mana mpk sasa umemchukua motto ndio anamiez 6 which miez 2 imepita tangu umemchukua mtoto means umemchukua akiwa na 4 month...........hiv kweli uliwaza wellbeing ya hyo mtoto? huu umri ni mtoto anatakiwa awe na mamake anyonye maziwa ya mama, matokeao yake atakua anakunywa ya kopo whis is not ok..................angekua mamake hayupo dunian ningekuelewa lakin umeamua kumchukua mtoto kwa ugomv wa kijinga tuu kwanini usimuache mtoto kwa mamake ukawa unaenda kumuona? mtu mwenyewe unashinda clubs na cassiono sangap hyo mtoto anaenjoy na wewe? mda mwingi unAVUTA BANGI................. I hate this mpeleke mtoto kwa mamam ake therz no one like mom aisee mtoto atakua vzr tuu chamsing wewe peleka matumiz ya mtoto na uwe unaenda kumuona

    ReplyDelete

Top Post Ad