Ndikumana: Sijaachana na Irine Uwoya Ingawa Hatuishi Pamoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.

Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.

Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado nacheza soka ila nategemea kusomea ukocha baada ya kustaafu soka,’alisema Ndikumana.

Irene na Ndikumana walifunga ndoa mwaka 2008 na kubahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Krish.

Cloudsfm.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ushauri wa bure kwa irene "penda unapopendwa, utakuja penda usipopendwa" mumeo anakupenda sana..

    ReplyDelete
  2. IRENE NI SIKIO LA KUFA, ATAKUJA KUJITIA BAADAE

    ReplyDelete
  3. Huyu nae kinganganizi, bibie hakutaki wewe kutwa mimi sijachana na Irene uwoya, heee, kwani kuachana au kutoachana ni big issue, kupenda ni sehemu zote mbili, mwanamke au mwanaume, mwanamke ajapenda, ajaridhika kwa upendo mwache anze zake, kama vile wanaume walivyokuwa na mamuzi, wakiwachoka wanawake utawaona haoooo, mara nyumba ndogo,mwishowe wanatimka kabisa basi na wanawake nao wawe hivyoo hivyoo, binadamu wote sawa, au mume au mke ni sawa.

    ReplyDelete

Top Post Ad