New Couple Alert? Alikiba & Jokate Mwegelo (Details)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tetesi zinavuna kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba ni wapenzi!

Tetesi hizo zimekuwepo kwa muda sasa japo wawili hao bado hawajaweza kuthibitisha muungano wao.

Mtangazaji namba moja kwa udaku nchini, Soudy Brown wa Clouds FM alijaribu kumtafuta Jokate kutaka kutegua kitendawili hicho lakini kama ilivyotarajiwa, Jokate aliishia kuangua kicheko tu na kutotoa jibu.

Wafuatiliaji wa mambo wameenda mbali zaidi na kudai kuwa wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja kwenye sehemu kadhaa ikiwemo nyumbani kwa Alikiba.

Wengine wamefuatilia baadhi ya picha zao mitandao ya kijamii na kugundua kuwa Jokate amewahi kuivaa kofia ya mkeka ya Alikiba!

Bongo5 binafsi haijaweza kuthibitisha uwepo wa uhusiano huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nawapenda ikiwa kwel ntafurahi

    ReplyDelete
  2. Ila wawe makini na Wema maana yuko katika kumfukuzia Ali Kiba kwa namna yoyote ile. Eti anajifanya ku m promote wakati ana agenda yake. Wema acha watu waendelee na maisha yao. Wewe sasa kwishnei. mfyuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad