AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Look at what he bought for her;
Somewhere in Dubai someone couldn’t make up thier mind. Decisions, Decisions!!!!!
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kaka ni ushauri tu Fanya mambo yako kimnya kimnya..
ReplyDeletelol kaja kupiga show du ai tayari watu wanavumisha mengine
ReplyDeletekaja kupiga show dubai
ReplyDeleteBaba mtoto mwenyewe ana hela za kufa mtu wewe jishaue tu na pesa zako za viingilio, sasa joto la Bongo koti la winter kwa baby la nini?
ReplyDeletemmh jacket na joto la bongo kazi kweli kweli.
ReplyDeletehakuna kitu kibaya kama ulimbukeni.. kazi kweli kweli
ReplyDeleteOyaa anonymous 11:44 kwani huelewi South Afica kunakuwaga na winter??? Kwa akili yako mbuzi baby atakuwa haendi viwanja vikali wakati wazazi wake ni watu wa viwanja?? Pisha kuleeeee
ReplyDeletejamani acheni ushamba, kwa nini mnapenda kushikwa masikio na hawa watu wa blog na magazeti? mnafikiri magazeti na blog zitapata wapi hela kama si kuandika vitu vya uongo? jamaa kaenda kupiga shoo tayari mmeshaambiwa anaenda kununua nguo za mtoto, si baby shower ilishafanyika? acheni ulimbukeni wenzenu wanatengeneza nyinyi kazi kukandia watu pasipo kufanya tafiti kwanza
ReplyDeleteWANA WIVU HAOOOOOOOOO!!!!!
ReplyDelete